Hata Mapalala walimfukuza. Hizi siasa za vyama vya magumshi ni TOO RISKY, ndio maana Dr. Slaa kasema ahakikishiwe fungu lake in advance.
Afadhali Nimeianza siku yangu na kicheko......eti "Hizi siasa za vyama vya magumshi ni TOO RISKY, ndio maana Dr. Slaa kasema ahakikishiwe fungu lake in advance". Wamuulize Mrema (Lyatonga)alivyopigika kwa kuingia kichwa kichwa NCCR- Mageuzi.Hata Mapalala walimfukuza. Hizi siasa za vyama vya magumshi ni TOO RISKY, ndio maana Dr. Slaa kasema ahakikishiwe fungu lake in advance.
Mkubwa,Hata Mapalala walimfukuza. Hizi siasa za vyama vya magumshi ni TOO RISKY, ndio maana Dr. Slaa kasema ahakikishiwe fungu lake in advance.
Hata Mapalala walimfukuza. Hizi siasa za vyama vya magumshi ni TOO RISKY, ndio maana Dr. Slaa kasema ahakikishiwe fungu lake in advance.
Mkubwa,
Una uhakika na unachokinena hapa?
Lini Dk. Slaa alisema hivyo?
Hizi Sasa Ndio Siasa za Majitaka, Siasa za kupakaziana uongo!!
Tatizo la Slaa anahisi kwamba kuna sehemu fulani ya maisha yake aliikosea, sasa kama vile anataka kucatch up. Katika kufanya hivyo ndio anajikuta wakati mwingi anafanya uhuni usioendana na umri wake. Age mates wake kina Kingunge na malecela sasa hivi wameshastaafu...mkuu ZeMarcopolo
Umaniacha hoi sana sasa huyu slaa anafanya kazi Chadema kama TX au mtetezi wa wanyonge? Nachelea Chadema wasije wakamuajiri Odinga maana kama mtetezi wa wanayonge anajipangia mshahara na marupurupu sasa hapo anatetea wanyonge au anatetea nafsi yake? Nimepitia majarida mengi ya historia sijakutana na mtetezi wa wanyonge anayetetea kwa kuwakamua wanyonge!
Tatizo la Slaa anahisi kwamba kuna sehemu fulani ya maisha yake aliikosea, sasa kama vile anataka kucatch up. Katika kufanya hivyo ndio anajikuta wakati mwingi anafanya uhuni usioendana na umri wake. Age mates wake kina Kingunge na malecela sasa hivi wameshastaafu...
Ni kweli, Slaa anakula sana bata na pesa za Chadema.mkuu mbona mada haijataja dr Slaa? inazungumzia Zanzibar na Jidawi sasa hayo ya Slaa umeyatoa wapi. Chadema wanawatesa sana nyie ndugu,mtakufa na presha kwasababu ya Chadema wakati wenyewe wanakula bata .