World war III loading?????

Chegge

Senior Member
Joined
Mar 18, 2026
Posts
144
Reaction score
3
Leo nilikuwa naskiliza taarifa za habari za kimataifa nimekutana na taarifa mbili nimeona nije ku share nanyi.

1- Pakistan Turkey na Saudi Arabia ngoma ngumu wameamua waende Tehran Iran ili kufanya mazungumzo kuhusu usalama wa kikanda ili mzozo usije kusambaa ukanda mzima. Nilicheka sana baada ya kuona hii habari kwa maana Turkey walijifanya wao ndio wana nguvu na kuigandamiza Iran kwa kufuata masharti ya Marekani.

Ila baada ya kuona Iran haikutetereka sasa wanajifanya kutaka maongozi na Iran it’s the same story Pakistan na Saudi Arabia, uzuri Iran iliwaambia mwanzo kama Iran itashambuliwa ukanda mzima hautokuwa salama walidhani ni utani, lengo lao walijua Iran itashindwa ili waendelee na unafki wao.

2- Rais wa Singapore amenifurahisha sana kwenye hotba yake ; anasema Iran imeonesha ukomavu kupigana na Marekani na kuishinda pia kuwaonesha kama sio kila nchi pole Marekani ikaivamia tu na kufanya atakavyo, Iran imeonesha ni jinsi inaweza ku control uchumi wa dunia na dunia ikatikisika kama tunavyoona sasa.

Akaendelea kwa kusema Marekani isije ikathubutu kuanzisha vita na China na kuna kila dalili anataka kumchokoza China kwa sababu ya kisiwa cha Taiwan ( lengo ni cheap anazotengeneza Taiwan na Marekani bila hizo cheap ni nothing tu) Rais wa Singapore amesema ikiwa Marekani itaanzisha vita na China ndio mwisho wake, ikiwa Iran tu imempiga basi ajue China itammaliza kabisa na wasije wakathubutu kukichukua kisiwa hicho.

The next third world war is coming

🫡🇮🇷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…