Coding ni CURSOR una integrate na Android Studio. Au unaweza tumia Grok , kwa sasa ndio chaguo bora zaidi kwangu. Logo design ni FREEPIK na https://www.canva.com/ai
Kama budget ipo nipe hii kazi nakutengenezea app na website
Pamoja na payment gateway.
Muuzaji ana-withdraw baada ya mteja kupata mzigo, na feature zingine rahisi kwa mtumiaji.