Mkuu,You are
Tatizo mnachukulia maisha Kwa u serious. Mnaamini maisha ni safari hivyo Kila mtu anadhani ana malengo na mipango ya kuikamilisha kabla ya safari yake kuisha.
Inachekesha kuona tunashindana kukamilisha mipango na malengo tunayojiwekea.
Life is not something to complete but it's something to live, to experience, and to learn.
So you treat life like a problem.Mkuu,
Ukiishi leo kama hakuna kesho maana yake utamaliza hela zote utakazozipata siku hiyo hiyo utakazozipata. Utaona hakuna umuhimu wa kupanga mambo ya kesho kwa ajili yako.
That is no way to live.
This is a logical non sequitur fallacy.So you treat life like a problem.
Something to fix?
Something to get right?
And so everything become seriously 😅
You suffers because you takes seriously what God made for fun (life)Motoveshino speakers mmekujaa tenaa sio??
Mlikuwa mmepoteaa..
Sasa niishi kama ndo mwisho wa maishaa sasa ngoja watu waende Bar wakalewe ela zote.
The mind treats life like a destination, a problem to solve, a goal to reach...This is a logical non sequitur fallacy.
These are facts. Tumeona kwa macho. Tena kwetu si mbali.
Ukiishi leo kama hakuna kesho, hujajipanga na kesho, halafu kesho ikafika, hujajipanga kuikabili, utaumia.
Tuanze na mifano midogo tu kwenye familia zetu.
Mimi baba yangu kajenga nyumba mbili Mbezi Beach na moja Mwanza, akiwa kijana kaanza miaka ya early 1980s huko , alikuwa ananunua mashamba Mbezi ya Morogoro Road mwaka 1992, bei chee, kwa laki laki, kanunua mashamba 15.
Leo Mbezi Beach hapashikiki. Huwezi kujenga kwa urahisi kama walivyojenga hawa wazee waliowahi. Kununua kiwanja tu no ndoto kwa wengi.
Tena yeye alikuwa anajilaumu angewahi kidogo angeweza kujenga viwanja fulani vya Msasani/Masaki kule.
Hayo mashamba ya Mbezi ya Morogoro Road ndiko ukioita kidogo wamejenga kituo cha manasi cha Magufuli sasa hivi. Shamba moja unaweza kukuta milioni 80 au zaidi.
Sasa hivi Mzee yupo comfortable tu ana mashamba yake all over, ana nyumba zake all over, analipwa rent in USD. Anaamua tu sasa hivi naenda kuangalia shamba langu Iringa au naenda kuwaangalia watoto wangu na wajukuu zangu USA. Anaendesha ndinga za uhakika, matibabu anakuja kupata USA, kajiandaa vizuri na maisha ya uzeeni.
Angeishi kama kesho haipo angejirusha tu, angekuwa anapigika sana sasa hivi anaishi kwa kujitegemea, hategemei watu wamsaidie.
Huelewi wapi?
Hawa watu wana copy paste bila hata kufikiri.Motoveshino speakers mmekujaa tenaa sio??
Mlikuwa mmepoteaa..
Sasa niishi kama ndo mwisho wa maishaa sasa ngoja watu waende Bar wakalewe ela zote.
Nenda kawambie wale watoto wa mtaani kule wanaoteseka hawana chakula kwamba life is all about having funny uone watakavokujibu alafu urudi hapa..You suffers because you takes seriously what God made for fun (life)
Mkuu,The mind treats life like a destination, a problem to solve, a goal to reach...
You act as if everything is leading to somewhere. As if there is a final point you must reach...
So you plan, you worry about the future.
This is the trap. You sacrifice the present for a future that never arrives.
Life is not waiting for you at the end the journey. It's what happening while you making a plans
Tatizo lenu nyinyi mnajaribu kuifanya Dunia kama sehemu ya kupambania maisha mazuri. (You think you are here to be comfortable, to accumulate, to archive, to survive)Mkuu,
Hata wewe unavyoandika hapa JF unaweka rekodi watu wasome leo na kesho. Si leo tu.
Mimi naweza kuielewa hiyo falsafa ya kuishi leo kama vile kesho haipo kutoka kwenye mtazamo mmoja, mtazamo wa kutopoteza wakati.
Kinachowezekana kufanyika leo, kisingoje kesho. A sense of urgency in life. Getting things accomplished as early as possible.
Kama ungekuwa unaishi kama kesho haipo ungekuwa unafanya kitu cha kuendana na falsafa hiyo sasa hivi usingekuwa unabishana ubishi pointless JF.
Yani unavyokaa hapa JF kupoteza muda kubishana kuhusu huu ujinga ni proof kwamba hata wewe huishi kama leo ndiyo siku yako ya mwisho.
Ungeishi hivyo tungeona urgency fulani hivi ambayo kwa kubishana kijinga hapa JF unajionesha huna hiyo urgency.
Unapoteza muda tu.
You are contradicting yourself.
Tatizo lako una dhana yako unanipandikizia mimi. Bila mantiki, bila justification.Tatizo lenu nyinyi mnajaribu kuifanya Dunia kama sehemu ya kupambania maisha mazuri. (You think you are here to be comfortable, to accumulate, to archive, to survive)
So everything become serious. Every mistake matters. Every outcome defines you. The pressure, The fear,...
You become focused on getting it right
That creates a lot of suffering.
Tatizo lako una dhana yako unanipandikizia mimi. Bila mantiki, bila justification.
Halafu wengi hamjui kusoma kwa ufahamu
Nikikuambia unipe hata nukuu moja niliposema lolote kati ya hayo uliyoyasema nimesema huwezi kunipa.
Kwanza you are hyperbolic.
I can't debate hyperbolic people.
Hakuna popote niliposema chochote kuhusu everything.
Mpaka hapo tu ushafeli.
Kaa hiyo wewe hujiwekei akiba ya uzeeni, hufikirii mwakani mambo yako yatakuwaje, you are just having fun kama kesho haipo, siyo?Life was made purely for fun bro and not a journey to arrive.
It's something more like music. Image the point of music is playing you don't listern to a song just to get to the end. If you did the best part of your life would be the last note.
So let's enjoy life from the beginning , just as we enjoy music from the start.
Yeah, That's why I'm a live. I'm experiencing life.Kaa hiyo wewe hujiwekei akiba ya uzeeni, hufikirii mwakani mambo yako yatakuwaje, you are just having fun kama kesho haipo, siyo?
Kuna wajuba walisha jifia miaka mingi sasa hivi inaishi mizoga yao in short ni mazombieBECAUSE YOU REALLY HAVE NOTHING TO LOSE.
Zombies lifestyleKaa hiyo wewe hujiwekei akiba ya uzeeni, hufikirii mwakani mambo yako yatakuwaje, you are just having fun kama kesho haipo, siyo?
Kwa hio umefanya c&p sasa kwanini chini hukuweka tag?Ideas are meant to be shared, challenged and discussed. Just because I found an idea on Instagram doesn't mean I can't agree with it or express it. The source of an idea doesn't determine the value of the argument. Instead of focusing on where I got it, challenge the logic behind it.
Rejea mada ya thread hii "Why you afraid of"Motoveshino speakers mmekujaa tenaa sio??
Mlikuwa mmepoteaa..
Sasa niishi kama ndo mwisho wa maishaa sasa ngoja watu waende Bar wakalewe ela zote.
We live like zombies and so we're not afraid of life.Zombies lifestyle