RealityCode
Member
- Sep 30, 2026
- 73
- 177
- Thread starter
-
- #21
Nafikiri ushauri huu uliotoa unakufaa wewe zaidi sababu huamini kama kuna maisha baada ya kufa,you only got one life to live,live it to the fullestHapana mkuu.
Hii si negative mindset, hii ni objective, logical observation.
Huo ushauri wa kuwaambia watu waishi kila siku kama siku yao ya mwisho unaweza kuwachagiza wafanye mambo ya hatari.
Tabia zote za hatari ambazo ubaya wake hautaonekana ndani ya siku moja wataona sawa tu kufanya.
Si wanaishi kama siku hiyo ndiyo siku yao ya mwisho?
Huu ni ushauri mbaya sana.
Loosing people depends on how you treat them. Na sio kwamba they are not meant for u.
Unaweza filisika na usirudi tena kama zamani.
Kifo ndio mwisho wa kila kiumbe hai duniani.
Rejections ni sababu pia ya watu kutokuwa na assurances.
Kufeli kunahitaji juhudi pia ili uweze kusimama, maana sa zingine unaweza ukawa unafeli kila kukicha na bado hufanikiwi.
Kuna makosa mengine hayawi masomo bali ni makovu kabisaaa na vidonda visivyopona.
Taking risks zinaweza pia kuwa anguko lako
Mwisho kabisa vipo vya kupoteza kama ulishavijenga 😎
Nafikiri ushauri huu uliotoa unakufaa wewe zaidi sababu huamini kama kuna maisha baada ya kufa,you only got one life to live,live it to the fullest
Kwa sisi watu wa mbinguni this existence isn't the entirety of our journey,huko juu kuna barabara za dhaabu,mito ya pombe mabikra 72 wenye Macho kama vikombe..
Kuna tofauti kati yaNafikiri ushauri huu uliotoa unakufaa wewe zaidi sababu huamini kama kuna maisha baada ya kufa,you only got one life to live,live it to the fullest
Kwa sisi watu wa mbinguni this existence isn't the entirety of our journey,huko juu kuna barabara za dhaabu,mito ya pombe mabikra 72 wenye Macho kama vikombe..
Mbona umeniquote na post ya mtu mwingine"Bro, hata mimi napambana na maisha niliyonayo sasa. Hayo ya mbinguni sijayafika wala sijui yatakuwaje. Ninachojua ni kwamba imani yangu inanipa matumaini ya maisha zaidi ya haya. Tusibishane kuhusu sehemu ambayo hakuna aliyerudi na kutupa ushahidi wa moja kwa moja."
Sorry sio weweMbona umeniquote na post ya mtu mwingine
Bro, hata mimi napambana na maisha niliyonayo sasa. Hayo ya mbinguni sijayafika wala sijui yatakuwaje. Ninachojua ni kwamba imani yangu inanipa matumaini ya maisha zaidi ya haya. Tusibishane kuhusu sehemu ambayo hakuna aliyerudi na kutupa ushahidi wa moja kwa moja."Nafikiri ushauri huu uliotoa unakufaa wewe zaidi sababu huamini kama kuna maisha baada ya kufa,you only got one life to live,live it to the fullest
Kwa sisi watu wa mbinguni this existence isn't the entirety of our journey,huko juu kuna barabara za dhaabu,mito ya pombe mabikra 72 wenye Macho kama vikombe..
Yes ni philosophies mbili tofauti but zote zinatu encourage KUISHI sababu maisha mafupi..Kuna tofauti kati ya
1."Live life to the fullest"
na
2."Live everyday like it is your last day".
Naweza kufanya hilo la kwanza hapo juu tangu kijana huku nikijiwekea akiba ya uzeeni.
Hilo la pili kama mimi kijana naishi kama leo ndiyo siku yangu ya mwisho, akiba ya uzeeni nitawekaje hapo sasa?
Si nitaona huo ni ujinga tu?
Yani hata ukiamua kuiahi kama vile naisha ni mafupi, unaweza kuishi hivyo kijanja au kijinga.Yes ni philosophies mbili tofauti but zote zinatu encourage KUISHI sababu maisha mafupi..
Naval katika podcast ya Modern Wisdom aliuliza
kifo kinafanya ujiulize ukifa kila ulichofanya,mali ulizokusanya,Elimu yako,Kila kitu kinakua irrelevant to your personal experience and it goes back to Zero,what to stress about,??
What will matter to you ukishazikwa??
Yes ni philosophies mbili tofauti but zote zinatu encourage KUISHI sababu maisha mafupi..
Naval katika podcast ya Modern Wisdom aliuliza
kifo kinafanya ujiulize ukifa kila ulichofanya,mali ulizokusanya,Elimu yako,Kila kitu kinakua irrelevant to your personal experience and it goes back to Zero,what to stress about,??
What will matter to you ukishazikwa??
Hujaelewa,hapo haina uhusiano wa naamini nini au msimamo wangu ni nini,hiyo ni hoja ya kifalsafa kutaka kujua maisha na kifo,..how to live huku ukikumbuka siku moja utakufa.Kama kila kitu unachokikusanya kitakuwa irrelevant ukifa, basi hata muda unaoutumia kubishana kuhusu kifo nao ni irrelevant. Swali si utakufa na nini, bali unaishi vipi kabla hujafa?
Hii ndiyo falsafa inayojadiliwa hata na wanafalsafa kama Seneca na Martin Heidegger: ufahamu wa kifo na namna unavyobadilisha maisha ya mwanadamu.Hujaelewa,hapo haina uhusiano wa naamini nini au msimamo wangu ni nini,hiyo ni hoja ya kifalsafa kutaka kujua maisha na kifo,..how to live huku ukikumbuka siku moja utakufa.
Tatizo mnachukulia maisha Kwa u serious. Mnaamini maisha ni safari hivyo Kila mtu anadhani ana malengo na mipango ya kuikamilisha kabla ya safari yake kuisha.Yani hata ukiamua kuiahi kama vile naisha ni mafupi, unaweza kuishi hivyo kijanja au kijinga.
Kijanja ndiyo hiyo 1.
Kijinga ndiyo hiyo 2.
Kwa sababu unaweza kuishi kama maisha ni mafupi usijiwekee akiba ya uzeeni, halafu ukabahatika kuwa na maisha marefu.
This is the trap.Maisha si motivational quotes; ni mchanganyiko wa maamuzi, mazingira, bahati, matokeo na gharama ambazo wakati mwingine tunazibeba milele. 😎
You sacrifice the present for a future that never arrivesNakubaliana na hoja yako. Tatizo la kauli hiyo ni kwamba inahamasisha mtu kuzingatia starehe na matamanio ya sasa bila kufikiria matokeo ya baadaye. Maisha hayahitaji tuishi kana kwamba kesho haipo, bali tuishi tukijua kwamba matendo ya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya kesho. Akili ni kufanya maamuzi ambayo hutajutia kesho, si kufanya kila unachotamani leo kwa sababu tu huenda usiwepo kesho