Salama, na Karibu!Mambo vipi wana JF.
Kwa hapa tu ushanikatisha tamaa! Umeambiwa wanawake ni wa kupooza machungu? Kivipi? Wewe unaleta mjadala ndani ya mjadala! Huyo ulomwendea ulimwambia kuwa kazi yake ni kukupoza machungu baada ya kuachwa?Nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana ila siku moja ilitokea missunderstanding kati yangu na yeye ambayo ilisababisha mawasiliano baina yetu, hivyo kunipelekea mimi kutafuta demu mwingine wa kunipooza machungu
Kha! Sasa unaona athari ya kutafuta vipoozeo? Umeoa? Bado msela? Kama ukioa kamwe usikimbilie kutafuta mwanamke nje ati ndo atakupunguzia matatizo katika ndoa, unaongeza matatizo juu ya tatizo. Nafurahi yalikukuta haya! Safi sana, ni ili ujifunze. Wala sishangai kusikia ulimkuta na hirizi, labda alikupata hata wewe kwa hirizi. Uliyemkimbilia ukamwacha ukarudi ulikotoka, sasa huoni wewe ni mchafuzi mkuu?Chanzo cha haya matatizo yote ni huyu demu mwingine kwani alishawahi kuniambia endapo nitakuja kumwacha ataniloga niliamini hvyo kwn kuna cku moja nilimkuta na hirizi ambapo nilipomuuliza aliniambia alipewa alipokuwa anaumwa, nikamuuliza si umeshapona vp bado unayo akanipa maelezo ambayo hayakuniridhisha na hivyo kuamua kumuacha kwa kumwambia kuwa naomba muda wa kuwa peke yangu, akaniuliza kuwa niesharudiana na demu wangu wa awali, nikajibu hapana. Lakini ukweli ni kwamba nimerudiana na demu wangu.
What's round tatu? Ili iweje?Tatizo ni kwamba tangu nirudiane na huyu demu wangu nimekuwa nashinwa kwenda round tatu. Je, yawezekana yule demu ni kweli ameniloga? Nilishampiga stop kuwasiliana na mimi kwa kuhofia kunigombanisha na demu wangu, lakini kwa sasa natamani nimuombe msamaha kama ni yeye kweli lakini nashindwa jinsi ya kumuanza
salama, na karibu!
Kwa hapa tu ushanikatisha tamaa! Umeambiwa wanawake ni wa kupooza machungu? Kivipi? Wewe unaleta mjadala ndani ya mjadala! Huyo ulomwendea ulimwambia kuwa kazi yake ni kukupoza machungu baada ya kuachwa?
Kha! Sasa unaona athari ya kutafuta vipoozeo? Umeoa? Bado msela? Kama ukioa kamwe usikimbilie kutafuta mwanamke nje ati ndo atakupunguzia matatizo katika ndoa, unaongeza matatizo juu ya tatizo. Nafurahi yalikukuta haya! Safi sana, ni ili ujifunze. Wala sishangai kusikia ulimkuta na hirizi, labda alikupata hata wewe kwa hirizi. Uliyemkimbilia ukamwacha ukarudi ulikotoka, sasa huoni wewe ni mchafuzi mkuu?
What's round tatu? Ili iweje?
Inaelekea una kamchezo hako sana mkuu, kaache mara moja!
Kamwombe msamaha kwanza uliyekuwa naye awali, usimfiche, mweleze ukweli ambao najua wazi utakugharimu, kisha ukishamwomba msamaha na kumweleza ukweli wa mambo acha mara moja tabia hii chafu itakupeleka pabaya sana na utawaua wengi.
Kisha, kamwone huyo uliyemwendea kama kipoozeo, mweleze ukweli wa mambo na mwambie makosa yako, usifiche, kinachoweza kuwa kinakuathiri si hirizi, ni hisia zako chafu juu ya hirizi yenyewe uliyoiona.
Aidha, kama uko kwenye ndoa, moja ya vitu vinavyopelekea mwanaume kukosa nguvu ni msongo wa mawazo. Msongo huu wa mawazo unaweza kutokana na kutokamilisha mambo kadhaa, mfano; kutomaliza kazi za kiofisi, kutokamilisha kazi zako binafsi na ukawa unajua unadaiwa kumalizia, kutokuwa na pesa mfukoni n.k.
Njia mbadala ya kupunguza mambo haya ni kuhakikisha unafanya jambo moja kwa wakati. Ukiwa na mwenzi wako acha kufikiria lolote juu ya mambo kama haya, kama wewe ni mzee wa vicheche basi nayo ni athari kubwa sana, unakuwa unafanya tendo hilo ukiwa na mawazo kuwa unaiba na hivyo daima utakuwa na wasiwasi. Jiepushe na uzinzi, kuwa na mmoja unayempenda, kama hamjaoana kaoe. Itakusaidia kuepukana na upuuzi wa kuwa rambaramba.
Ningeandika zaidi lakini, post yako haijakaa vema, sipendekezi kuwa tabia kama hizo... Nashauri jaribu kubadilika, muda unao, ukiamua unaweza!
Na utalogwa sana! Babu yangu aliniusia kuwa ukishaamini kulogwa hata kuku atakuloga.
Salama, na Karibu!
Kwa hapa tu ushanikatisha tamaa! Umeambiwa wanawake ni wa kupooza machungu? Kivipi? Wewe unaleta mjadala ndani ya mjadala! Huyo ulomwendea ulimwambia kuwa kazi yake ni kukupoza machungu baada ya kuachwa?
Kha! Sasa unaona athari ya kutafuta vipoozeo? Umeoa? Bado msela? Kama ukioa kamwe usikimbilie kutafuta mwanamke nje ati ndo atakupunguzia matatizo katika ndoa, unaongeza matatizo juu ya tatizo. Nafurahi yalikukuta haya! Safi sana, ni ili ujifunze. Wala sishangai kusikia ulimkuta na hirizi, labda alikupata hata wewe kwa hirizi. Uliyemkimbilia ukamwacha ukarudi ulikotoka, sasa huoni wewe ni mchafuzi mkuu?
What's round tatu? Ili iweje?
Inaelekea una kamchezo hako sana mkuu, kaache mara moja!
Kamwombe msamaha kwanza uliyekuwa naye awali, usimfiche, mweleze ukweli ambao najua wazi utakugharimu, kisha ukishamwomba msamaha na kumweleza ukweli wa mambo ACHA mara moja tabia hii chafu itakupeleka pabaya sana na utawaua wengi.
Kisha, kamwone huyo uliyemwendea kama kipoozeo, mweleze ukweli wa mambo na mwambie makosa yako, usifiche, kinachoweza kuwa kinakuathiri si hirizi, ni hisia zako chafu juu ya hirizi yenyewe uliyoiona.
Aidha, kama uko kwenye ndoa, moja ya vitu vinavyopelekea mwanaume kukosa nguvu ni msongo wa mawazo. Msongo huu wa mawazo unaweza kutokana na kutokamilisha mambo kadhaa, mfano; kutomaliza kazi za kiofisi, kutokamilisha kazi zako binafsi na ukawa unajua unadaiwa kumalizia, kutokuwa na pesa mfukoni n.k.
Njia mbadala ya kupunguza mambo haya ni kuhakikisha unafanya jambo moja kwa wakati. Ukiwa na mwenzi wako ACHA kufikiria lolote juu ya mambo kama haya, kama wewe ni mzee wa vicheche basi nayo ni athari kubwa sana, unakuwa unafanya tendo hilo ukiwa na mawazo kuwa unaiba na hivyo daima utakuwa na wasiwasi. Jiepushe na uzinzi, kuwa na mmoja unayempenda, kama hamjaoana kaoe. Itakusaidia kuepukana na upuuzi wa kuwa rambaramba.
Ningeandika zaidi lakini, post yako haijakaa vema, sipendekezi kuwa tabia kama hizo... Nashauri jaribu kubadilika, muda unao, ukiamua unaweza!
Acha kabisa habari za mademu mkuu, utaumia sana tu kisaikolojia. Concentrate na kujijenga kimaisha.Mambo vipi wana JF.
Naombeni ushauri wenu nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana ila siku moja ilitokea missunderstanding kati yangu na yeye ambayo ilisababisha mawasiliano baina yetu, hivyo kunipelekea mimi kutafuta demu mwingine wa kunipooza machungu
Chanzo cha haya matatizo yote ni huyu demu mwingine kwani alishawahi kuniambia endapo nitakuja kumwacha ataniloga niliamini hvyo kwn kuna cku moja nilimkuta na hirizi ambapo nilipomuuliza aliniambia alipewa alipokuwa anaumwa, nikamuuliza si umeshapona vp bado unayo akanipa maelezo ambayo hayakuniridhisha na hivyo kuamua kumuacha kwa kumwambia kuwa naomba muda wa kuwa peke yangu, akaniuliza kuwa niesharudiana na demu wangu wa awali, nikajibu hapana. Lakini ukweli ni kwamba nimerudiana na demu wangu.
Tatizo ni kwamba tangu nirudiane na huyu demu wangu nimekuwa nashinwa kwenda round tatu. Je, yawezekana yule demu ni kweli ameniloga? Nilishampiga stop kuwasiliana na mimi kwa kuhofia kunigombanisha na demu wangu, lakini kwa sasa natamani nimuombe msamaha kama ni yeye kweli lakini nashindwa jinsi ya kumuanza
So wana JF naombeni ushauri wenu kwani naumia kisaikolojia.
Yaani hii inachekesha zaidi. ah vijana wa siku hizi, eti anataka round tatu, na wakati kwenye kazi za kujenga taifa hawezi kutia nguvu yote hiyo. halafu aliyekwambia wanawake ni viumbe wa kupoozea machungu yako nani? umelikoroga mwenyewe linywe na ushindwee, usipende kuchezea wanawake wewe, acha kabisa.imebidi nicheke tu...MJ1,Agika,Carmel,Msindima,VC jamani njooni mumpe kijana ushauri huku....
Na utalogwa sana! Babu yangu aliniusia kuwa ukishaamini kulogwa hata kuku atakuloga.
Yaani hii inachekesha zaidi. ah vijana wa siku hizi, eti anataka round tatu, na wakati kwenye kazi za kujenga taifa hawezi kutia nguvu yote hiyo. halafu aliyekwambia wanawake ni viumbe wa kupoozea machungu yako nani? umelikoroga mwenyewe linywe na ushindwee, usipende kuchezea wanawake wewe, acha kabisa.

Carmel yaani nimemshangaa sana huyu jamaa,nina wasi wasi sana na mwenendo mzima wa maisha yake.Unatia shaka sana.
Just for my personal interest: Carmel we unapenda raundi ngapi?
Mkuu kama unaishia round 3 na unataka round zaidi niPM nikupe mbinu achana na uchawi ingawa upo oooh kama ulisahau kufuri yako kwake basi mzee utakuja kushtukia unapiga nusu round nayo hufikishi unaishia 1/4 robo tu.
Hahahaha mpwa unataka ufanyaje sasa?