MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Kupigana kipumb* kila unapohitaji ipo karibu raha kweli
FL1,Nguli,Xpin, Geoff,Kaizer,Carmel ,Nyamayao,Bht( au bado upoupo)and others please come on and give us your experiences.Mie nita-wind up na kutoa mwisho.
Hebu na wewe tuambie hizi other aspects unazodhani ni muhimu ni zipi ambazo hukuzingatia?Hey wenye jamvi, natumaini wote mu wazima!
Je unakumbuka ni sababu zipi zilikufanya uoane na mwenzi wako?
Kusema ukweli mimi nilikuwa deceived kwa yale malavidavi nlokuwa nalambishwa kiasi kwamba nilisahau kuangalia other aspects ambazo well zimenicost leo hii.
ZD unakimbia majukumu au we ndo wale ambao Butterflies wa tumboni walikuwa wakikucheza kila ukimwona au kuwa naye then alivyokutamkia tu ukaona yes ndo mwenyewe?- Inaruhusiwa lakini kwa sababu haijalishi umeingiaje bali how do you make it last and getting stronger each and every day
1.Malovedove
2.Umri
3.Loneliness
4.Pressure from outside!
Hebu na wewe tuambie hizi other aspects unazodhani ni muhimu ni zipi ambazo hukuzingatia?
FL1,Nguli,Xpin, Geoff,Kaizer,Carmel ,Nyamayao,Bht( au bado upoupo)and others please come on and give us your experiences.Mie nita-wind up na kutoa mwisho.
Kwa kweli ilikua inakimbia kinoma......wakati huo ilikua kwenye 32!!Please explain kwenye red,yani ulikuwa unaona miaka inaenda,kama hutamind itaje wakati unaoa/olewa ilikuwa mingapi.
FL1,Nguli,Xpin, Geoff,Kaizer,Carmel ,Nyamayao,Bht( au bado upoupo)and others please come on and give us your experiences.Mie nita-wind up na kutoa mwisho.
Nikikumbuka kufua nguo, kutandika kitanda, kupika, kuosha vyombo, kupiga pasi,kushusha neti, kupiga pasi na usumbufu wa kusarandia vi-twiga stars. Nikichanganya na hamu ya kuitwa dady na kabinti kangu, na hamu ya kukaa karibu na mrembo 24 hrs. Ofkozi na ka umri kukimbiakimbia kwa kasi, nikajikuta sina jinsi. Nikaingia kundini kwa nguvu zote.
Hahaha! LOL! Mchumba unasepa? Weka vitu hadharani bana. Mi sitajali.