Hii kali sana
Anyway jibu langu kwa mada hii litakuwa ni hivi, kutokula ama kutokunywa ni matashi binafsi, lakini anayekosa kitu halisi ambacho hakina cha kufanana nacho ni Padre. Shekh akikosa kula kitimoto atakula nyama ya ng'ombe nk lakini si Padre ingawa siku hizi wana-vi miss hivi vitu hadharani lakini mafichoni sawa na kitimoto kudorora nyakati za mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.