Mwanamalunde
New Member
- Jun 17, 2009
- 1
- 0
Habari za hapa Jamvini wanzengu nimekuwa mgeni kwa mara ya kwanza leo nimeingia hapa na nimejikuta naingia baada ya kupewa ushauri na jamaa zangu hapa mjini kuwa kama unataka taarifa za uhakika angalau kwa asilimia 70 basi jiunge na mtandao unaoitwa jamii forum.
Ushauri huu nimepewa baada ya mimi kutoka ktk mkoa wa Tabora kikazi na katika pitapita yangu nilifika wilaya inayoitwa nzega na katika shughuli nikauliza maswala ya kisiasa na kumuongelea Mbunge lucas selelii,hapo nilistuk nilipoambiwa 2010 ananafasi ndogo sana ya ushindi kwani kuna kijana anaitwa Huseni Bashe wa Uvccm ambae anapewa nafasi kubwa na amembana sana kamanda wetu ,namivutiwa/nimestuka na jambo hilo nikona nije hapa niweze kumfahamu kama kuna watu wanamfahamu wanieleimishe na kufahamu huyu mtu anatowa wapi hizo nguvu za kuweza kufikia hapo.
habari za hapa jamvini wanzengu nimekuwa mgeni kwa mara ya kwanza leo nimeingia hapa na nimejikuta naingia baada ya kupewa ushauri na jamaa zangu hapa mjini kuwa kama unataka taarifa za uhakika angalau kwa asilimia 70 basi jiunge na mtandao unaoitwa jamii forum.
Ushauri huu nimepewa baada ya mimi kutoka ktk mkoa wa tabora kikazi na katika pitapita yangu nilifika wilaya inayoitwa nzega na katika shughuli nikauliza maswala ya kisiasa na kumuongelea mbunge lucas selelii,hapo nilistuk nilipoambiwa 2010 ananafasi ndogo sana ya ushindi kwani kuna kijana anaitwa huseni bashe wa uvccm ambae anapewa nafasi kubwa na amembana sana kamanda wetu ,namivutiwa/nimestuka na jambo hilo nikona nije hapa niweze kumfahamu kama kuna watu wanamfahamu wanieleimishe na kufahamu huyu mtu anatowa wapi hizo nguvu za kuweza kufikia hapo.
Hussein Bashe? mzee achana na habari hizi, kama uanakitu unataka kuteleza just come clean, kwani nashangaa unawezaje kujua majina matatu ya mtu ambaye mara zote hutajwa kwa majina mawili? ulipita Nzega lakini ukasubiri kuja JF ndio uulize sifa zake tutake radhi, au nenda kajipange upya hiyo ni very low kwa standard za JF...aaaaaaaaaagggggghhhhrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!
Hussein Bashe? mzee achana na habari hizi, kama uanakitu unataka kuteleza just come clean, kwani nashangaa unawezaje kujua majina matatu ya mtu ambaye mara zote hutajwa kwa majina mawili? ulipita Nzega lakini ukasubiri kuja JF ndio uulize sifa zake tutake radhi, au nenda kajipange upya hiyo ni very low kwa standard za JF...aaaaaaaaaagggggghhhhrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!
Karibu Mwanamalunde! Kwanza unapoingia sehemu ukiwa mgeni jambo la kwanza ni kuulizia taratibu na destuli za mahali husika, kwa hapa JF utaratibu wa jinsi ya kulitumia jamvi umewekwa kwahiyo ilikua ni jukumu lako kwanza kusoma halafu ndio uje na swali lako! Kwanza ungepitia kwenye jukwaa la utambulisho halafu ukishajitambulisha ungeenda kwenye Celebrities forum kwa ajili ya hili swali lako, sawa mkuu! hapa (Jukwaa la Siasa) hajujadili watu tunajadili hoja mbalimbali! kwa mara nyingine karibu sana.Habari za hapa Jamvini wanzengu nimekuwa mgeni kwa mara ya kwanza leo nimeingia hapa na nimejikuta naingia baada ya kupewa ushauri na jamaa zangu hapa mjini kuwa kama unataka taarifa za uhakika angalau kwa asilimia 70 basi jiunge na mtandao unaoitwa jamii forum.
Ushauri huu nimepewa baada ya mimi kutoka ktk mkoa wa Tabora kikazi na katika pitapita yangu nilifika wilaya inayoitwa nzega na katika shughuli nikauliza maswala ya kisiasa na kumuongelea Mbunge lucas selelii,hapo nilistuk nilipoambiwa 2010 ananafasi ndogo sana ya ushindi kwani kuna kijana anaitwa Huseni Bashe wa Uvccm ambae anapewa nafasi kubwa na amembana sana kamanda wetu ,namivutiwa/nimestuka na jambo hilo nikona nije hapa niweze kumfahamu kama kuna watu wanamfahamu wanieleimishe na kufahamu huyu mtu anatowa wapi hizo nguvu za kuweza kufikia hapo.
Haitashangaza ikiwa aliyepost thread hii ni Bashe mwenyewe kwa lengo la kujipima -- yaani ajue anajulikana kiasi gani na kwa yapi. Kama ni madhambi ajue umma unayajua yepi na kwa kiasi gani, ili anapojitosa kumn'goa Selelii awe ana uhakika anasimamia wapi.
Vinginevyo aliyeweka thread hii ni Selelii mwenyewe kwa malengo kwamba wenye kujua madhambi ya Bashe wayatoe ili apate nyenzo za kumsagasaga. Kumshinda Selelii katika uchaguzi Bashe atategemea fedha za RA (i.e za wananchi alizokupua) na si charisma au uwezo wake -- vitu viwili ambavyo hana kabisa.
Nimesoma kwenye post ya thread moja hivi karibuni kwamba Bashe ameshindwa kabisa kuongoza kitengo cha usambaji wa magazeti ya Habari Corp, mahali alipo, na kusababisha kuporomoka kwa mauzo ya magazeti.
Kuna watu siku hizi wanaitumia JF kupima upepo wa kisiasa na kijamii. Haingii akilini ufike Nzega halafu usipate taarifa za Hussein.mwanamalunde karibu jamvini
hussen bashe ni kijana mwenye asili ya kisomali mwenye umri usiozidi 30 ambae ni mjumbe wa baraza kuu la uvccm taifa na mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm taifa,pia mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm mkoa wa tabora akiwa ni muwakilishi wa wilaya ya nzega,na nasikia ana cheo kingine kwenye kata n.k kama kawaida yao ccm,,mwaka jana alikuwa mgombea wa nafasi ya umakamu wa mwenyekiti uvccm taifa akashindwa na beno malisa.
Bashe 2005 akiwa ametoka chuoni aligombea kura za maoni ndani ya ccm akawa ni mtu wa pili kati ya wagombea tisa kwa tofauti ya kura 36 kama sijakosea akiwa amezidiwa na selelii,katika siasa za mkoa wa tabora hasa wiliya ya nzega si ajabu kuwa na taarifa ya namna hiyo kwamba amembana selelii,kwani hata 2005 ambapo selelii alikuwa ni mtu wa kalibu na mafisadi wa leo amabao wakati ule walikuwa ni watu wema bashe alimbana sana selelii mpaka kufikia uchaguzi mkuu ufunguzi wa kampeni ccm kushindwa kuzindua kampeni na kumuomba kijana huyo aje kufungua kampeni na kumsaidia selelii.
Hayo ni ya haraka haraka ngoja nikafanye home work yangu
Karibu sanaHabari za hapa Jamvini wanzengu nimekuwa mgeni kwa mara ya kwanza leo nimeingia hapa
Bashe 2005 akiwa ametoka chuoni aligombea kura za maoni ndani ya CCM akawa ni mtu wa pili kati ya wagombea tisa kwa tofauti ya kura 36 kama sijakosea akiwa amezidiwa na Selelii, katika siasa za mkoa wa Tabora hasa wiliya ya Nzega si ajabu kuwa na taarifa ya namna hiyo kwamba amembana Selelii, kwani hata 2005 ambapo Selelii alikuwa ni mtu wa karibu na mafisadi wa leo ambao wakati ule walikuwa ni watu wema Bashe alimbana sana Selelii mpaka kufikia uchaguzi mkuu ufunguzi wa kampeni CCM kushindwa kuzindua kampeni na kumuomba kijana huyo aje kufungua kampeni na kumsaidia Selelii.
Hayo ni ya haraka haraka ngoja nikafanye home work yangu
In short hajawahi kumbana Seleli kwenye uchaguzi wowote! Matokeo ya kura za Maoni jimbo la Nzega mwaka 2005 ni ifuatavyo:-
1.Lucas Seleli 407
2.Abdallah Nasoro 150
3.Hussein Bashe 90.
Kwa mujibu wa ofisi ya CCM Nzega.
Mtu pekee aliyewahahi kumbana Seleli ni Abdallah Nasoro mwaka 2000 aliposhinda kura za maoni lakini alienguliwa na NEC. Kama kuna mtu ana matokeo tofauti na haya ni PURE FABRICATION.
Nimeamua kutoa takwimu hizi ili kuweka kumbukumbu sawa. Wana JF jioneeni tofauti ili mjue nani alibanwa 2005.
Sifa nyingi anazopewa humu JF ni tofauti kabisa ni jinsi tumjuavyo.
Nawasilisha.
Upo upande gani hapo..?Kaazi kweli kweli .. Seleli vs Bashe na GreatConqueror vs Treasurefred - ni mwendelezo wa vita dhidi ya Ufisadi ? Ngoma nzito... the poor vs the rich.
"Jee una ushahidi wowote wa RA ku ''kupua'', au na wewe ni katika wale wenye agenda za siri, akina Mwanakijiji?"
__________________