Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,595
Ha ha ha! Mkuu Jinga-lao ni genius wa Lumumba. Naomba tumpe heshima yake!Hahahahaaa umenichekesha sana mkuu, kwahiyo unataka kusema jina lake linaendana na uwezo wake wa kufikiri? Na ukichanganya na rangi rangi zinazoonekana kwenye photo id yake ni majanga.
Uamuzi wa vyombo vya sheria utaaangalia pia na mali alizonazo kama zinaendana na kipato chake halali....hapo ndipo linapokuja swala la yeye ni nani hasa katika muktadha wa Kutumbuana majipu.Point yangu ndio ilikuwa hiyo mkuu na nashukuru at least ulipata uelewa kidogo. Niliyoyaandika kuhusu Bwana SUGUTA hayana ukweli hata kidogo. Lakini nilifanya hivyo ili ku-prove a point. Huyu kijana amekumbwa na mkasa baada ya kugusa "Interest" za wahujumu UCHUMI. Ndio akatengenezewa Hilo zengwe linalomtafuna sasa hivi. Kwa utendaji kazi mimi binafsi namkubali Huyo Kijana. Ila tusubiri uamuzi wa vyombo ya sheria ndio tunaweza kuongea mengi.
Mmiliki wa Shoppers Plaza na Southern Sun. Pia anamiliki mabasi ya Shabiby.
Anamkejeli mleta mada.MWENYE SHABIBY SI MBUNGE WA GAIRO,anaitwa AHMED SHABIBY
Hizo posts zangu niliziandika ki "Satire" zaidi Ila mleta mada amenielewa. Reed between the lines mkuu.MWENYE SHABIBY SI MBUNGE WA GAIRO,anaitwa AHMED SHABIBY