Wadau something has just come on my mind, msinishambulie tafadhali Nyani et al, nimeangalia kwa makini watoto wanaozaliwa na wazazi wa mixed races wanakuwa na future tofauti sana. Mathalani baba anapokuwa mzungu na mama mwafrica watoto mara nyingi huishia jela ama kutokuwa na future inyoeleweka nina mifano mingi tu....lakini ukiangalia kwenye couples ambazo baba ni mwafrica na mama mzungu watoto waliowengi huwa na future nzuri sana, nitatoa mifafono hapa, Leona Lewis, baba mweusi mama Mzungu, Lewis Halmiton, baba mweusi na mama Mzungu, Akina Rio Fedirnand mama mzungu baba black, haya na raisi wa dunia Baraka Husein Obama, baba black na mama Mzungu, Tiger Woods mama mzungu baba Muasia najua kuna exceptions kama akina Alexandra Burke et al lakini ukiangalia walio wengi waliozaliwa kwenye mixed races mama mweusi wanakuwa hawana uelekeo....
comments please.... we need a big study to prove this hypothesis, Will look for funding Mtanzania fanyie PhD hii kitu, I assume wa mama wa kiafrica wanashida kwenye malezi ya watoto...Mwafrica wa kike na women of substance hebu toeni hoja
Ushi wa Rombo

Mama huwa ndiyo anayekaa na watoto muda mwingi na kumpa maadili/malezi mema!
Miafrika Ndivyo.......

Haswa,Mkuu! Angalia Robert Nesta Marley alivyoishia kuvuta bangi na kupiga muziki! Baba angekuwa mweusi pengine angefikia hadi kuwa Tarishi Mkuu.
Amandla.........
what a hell is this thread doing hereWadau something has just come on my mind, msinishambulie tafadhali Nyani et al, nimeangalia kwa makini watoto wanaozaliwa na wazazi wa mixed races wanakuwa na future tofauti sana. Mathalani baba anapokuwa mzungu na mama mwafrica watoto mara nyingi huishia jela ama kutokuwa na future inyoeleweka nina mifano mingi tu....lakini ukiangalia kwenye couples ambazo baba ni mwafrica na mama mzungu watoto waliowengi huwa na future nzuri sana, nitatoa mifafono hapa, Leona Lewis, baba mweusi mama Mzungu, Lewis Halmiton, baba mweusi na mama Mzungu, Akina Rio Fedirnand mama mzungu baba black, haya na raisi wa dunia Baraka Husein Obama, baba black na mama Mzungu, Tiger Woods mama mzungu baba Muasia najua kuna exceptions kama akina Alexandra Burke et al lakini ukiangalia walio wengi waliozaliwa kwenye mixed races mama mweusi wanakuwa hawana uelekeo....
comments please.... we need a big study to prove this hypothesis, Will look for funding Mtanzania fanyie PhD hii kitu, I assume wa mama wa kiafrica wanashida kwenye malezi ya watoto...Mwafrica wa kike na women of substance hebu toeni hoja
Ushi wa Rombo
Wasalaam Ushirombo,
Mosi, tupe mifano ya watoto waliozaliwa na mama weusi na baba weupe wasio na mafanikio hili tuweze kuchangia. Bob Marley alizaliwa na kulelewa na mama mweusi lakini kwa kiwango chake aliweza kufanikiwa na mpaka leo hii yeye ni legend wa music wa kuruka ruka (reagae).
Pili, inategemea huyo mama mweusi anaishi katika mazingara gani? usitegemee mzungu kuja Tanzania na kuzaa na mwanamama wa kiswahili muuza genge utegemee kwamba mtoto atayelelewa na huyu mama ataweza kulingana na mtoto atayelelewa huku akiwa amezungukwa na nyenzo za kuweza kujinyanyua kimaisha na kielimu.
Tatu, your hypothesis is too general, you need to narrow it down. Mfano what is your target group? Mzungu wa russia na mmatumbi?
Shadow
what a hell is this thread doing here