Mara nyingine unaweza kuta mke au girlfriend wako anakujulisha wanaume wanaomtokea na mara nyingine hao wanaume ni marafiki wako sana au kiasi! Lakini mimi nahisi kuwa huwa kuna uwezekano wa mojawapo au baadhi ya haya yafuatayo;
1. Labda mpenzi wako anakueleza hayo in a fair ground just as the way to be open to you.
2. Anakueleza just unconsciously na hata baadaye huenda akajutia kukuambia.
3. Huenda mpenzio alikuwa na affair na huyo mwanaume, na hivyo anakuambia hivyo baada ya kuhisi kuwa huenda umenote itu kama hicho, hivyo anakueleza kama njia ya kujihami kwako.
4. Labda alikuwa na mahusiano na jamaa huyo, lakini sasa anataka kusitisha, then kutokana na udhaifu wake au kutokuwa na sababu za msingi, anakutumia wewe kureact ili kukatisha mahusiano hayo kwa interest zake.
PLEASE WOMEN, Talk about this.........!
What is the Truth.......?
Mwanamke akitongozwa na mtu mwenye qualities zako au za juu yako anakula yamini ila akitongozwa na chakaramu anampotezea na anakusemea ili umkong'ori risasi.
Bonge la comment hili NguliMwanamke akitongozwa na mtu mwenye qualities zako au za juu yako anakula yamini ila akitongozwa na chakaramu anampotezea na anakusemea ili umkong'ori risasi.
Mwanamke akitongozwa na mtu mwenye qualities zako au za juu yako anakula yamini ila akitongozwa na chakaramu anampotezea na anakusemea ili umkong'ori risasi.
Kwa hiyo iwapo ana qualities kama zangu au zaidi, basi namba 3 and 4 applies, na kama ziko chini, basi namba 1 ndio kweli.....! Basi nitakuwa nimewasoma wachangiaji wa sredi hii.
Usikubali mara nyingi mwanamke hukueleza mtu asiyempenda, lakini kwa anayewapenda hakwambii hata kidogo anajivinjari kimya kimya