kama analipa kihivyo basi
nitumie namba zake pm.
nimsaidie......
..........Huyo mdada naye kweli hamnazo, mwanaume huyo alishawahi kumcheat wa nini tena? Wazazi hapo wapo right kumkatalia kurudi kwa mumewe kwa sababu wameshamuona mwanaume hajui kufunga zipu yake, anapenda kufungua zipu kwa kila mwanamke.
Hivyo kama akiamua kurudi awe tayari kutengana na mwanaume tena, maana inaonyesha mwanaume utulivu zero.
..........Huyo mdada naye kweli hamnazo, mwanaume huyo alishawahi kumcheat wa nini tena? Wazazi hapo wapo right kumkatalia kurudi kwa mumewe kwa sababu wameshamuona mwanaume hajui kufunga zipu yake, anapenda kufungua zipu kwa kila mwanamke.
Hivyo kama akiamua kurudi awe tayari kutengana na mwanaume tena, maana inaonyesha mwanaume utulivu zero.
Blue=huyu ndie Kiranga namfahamu au?You made me say "Oh my god, these people are shameless" even though I don't believe in god.
Ngoja nitakupa akija, nafikiri yupo tigo, jana alisema kuwa wanapendana sana na mumewe kiasi kuwa kila mmoja wao ame divert mawasiliano yote ya simu kwa mwenziekama analipa kihivyo basi
nitumie namba zake pm.
nimsaidie......
Kama ulikuwepo, baada ya kutengana tu mkewe kapata bonge ya kazi,ni afisa kwenye kampuni moja ya kimataifa, labda ndio maana jamaa kakubali kutubu.Tall for the first time umeandika ujumbe wa maana! Pokea senksi kwanza..
Ushauri:
Wazazi wanafanya hivyo kumprotect mwanao..its a natural tendency. usiwalaumu..
Cha kufaya huyu dada naye achukue muda kwanza kutafakari (huku akiomba, maana haya mambo yanahitaji divine intervention!)ili apate kufahamu kwanini huyu ndugu aachane na aliyekuwa naye-1. kwa sababu amejitambua au 2. labda huyo msichana ndo alimuacha 3. sababu nyingine tusizozifahamu.
Baada ya hapo anaweza kuongea na wazazi wake kuwaeleza kuwa kweli jamaa kabadilka..Maana sasa hivi kaja kukuomba msamaha unakubali huna uhakika kabadilika kweli ama ameona afadhali zimwi likujualo!??
Ni hayo tu mkuu..
Barakaz!
Kuna dada mmoja aliachana na mumewe, sababu alizozitoa ni kuwa mumewe alipata mwanamke mwingine hivyo yeye huyo dada akaamua kumsusa.Hadi ananieleza,alikuwa hamtaki kabisa mumewe hata kumsikia.
Baada ya kumsikiliza kwa kina nikambadili mawazo. Nilimshauri, afanye fasta fasta warudiane na mumewe. Lakini awe makini kabla ya XXXXX ahakikishe wote wamepima,vipimo vya ukimwi ni muhimu.Leo kaja kanikuta na donyoa donyoa kwenye keybord nikijibu ile thread ya pearl. Chapchap nikamuuliza mambo safii??? Akanijibu kwa huzuni kuwa mambo safi,akaendelea kueleza, ''mume wangu kaniomba msamaha,kaachana na mwanamke wake,tumepima tuko fit, ila ila ila'',duuuuu, akaanza kulia. Nilishangaa sana na kujiuliza kulikoni? baadae alipotulia,akanieleza kuwa wazazi wake WAMEKATAA WASIRUDIANE, nikamuliza kisa?
akajibu ''wanasema hawamtaki tu''.
hapo ndipo kaniacha hoi;
-wazazi wengine jamani vipi?
-au wanataka wale mahari mara ya pili? maana mtoto mwenyewe analipa kwelikwelli toto languvu?eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh naomba
mumgu anisamehe tunambiwa tusitamani wake za majirani zetu.
- au hasira za aibu?
- Kama watu walishasameheana nyie wazazi donge la nini?
- Si walishawaruhusu wakaoana mwanzoni?
- Kwa nini hawatoi sababu?
Kwa kawaida nakuwa na majibu pale pale kila ninapoulizwa jambo, lakini leo nilikwama nikamwomba tuonane kesho.Siku ya leo we acha tu.
- sijui kesho nimwambie awapuuze tu wazazi? Mungu nae anasema waheshimu baba yako na mama yako.
- Sijui nimwambie atafute mume mwingine ili aepuke laana ya wazazi?kwa kuishi na mume waliomkataa?
- Sijui nimwambie wafanye fastafasta wabandikane mimba ili aruhusiwe kurudi kwa mumewe? Ebu semeni waheshimiwa wana JF. JE? arudi au asirudi kwa mumewe?
Wanaume 9 kati ya 10 ndiyo zao, wewe unayemkandia huyu mdada kama unaye wako, at the risk of betraying the gender, kama hujamshtukia basi atakuwa Askofu Desmond Tutu or some Gandhi like that, au wewe mwenyewe utakuwa slow.
Wanaume 9 katika 10 wamecheza rough somewhere in their relationships, it is not like they want to hurt anybody, sometimes mbongo huwa hazifanyi kazi, badala ya kufikiri na ubongo tunafikiri na uboooo-ngo.
Our institutions and moralities are far evolved compared to our biologies.Uliangalia interview ya MoNique katika awards za juzi alivyokuwa anaongelea kumsamehe mwanamme na Barbara Walters? Almost like anaongelea open marriage.
And that's just the men, kinamama walioolewa wanavyojirahisisha mtu wako akipiga suti za Calvin Klein na viatu vya Joseph Abboud tu, never mind anything else, utashangaa mwenyewe.Sasa najiuliza, hawa wake za watu wanatoa namba zao fasta dfasta hivi, ukibeep tu kazi kwisha, na mimi nataka kuopa kweli? Ila mie sio zangu bahati yao.
Ndugu umesema mengi yenye mantiki, ila humohumo umechanganya mambo... unakubali mapungufu yenu kisha ukawatupia lawama akina dada/mama.....mhhhhh( chunguza vizuri utabaini ...)
Nilichookota kwenye maoni yako na kukikubali na kushauri tukifanyie kazi ni hicho kwenye Red.
Asante kwa kutupa upande mwingine wa shilingi kutoka experience yako.
Kwenye kijani...... ushauri wa harakaharaka ni kwamba maadam unajua utakachokifanya na unahisi nawe utafanyiwa..basi acha kabisa usijaribu ndugu.
Mbuzi kaenda kuomba ushauri kwa chui, duuh
Ngoja nitakupa akija, nafikiri yupo tigo, jana alisema kuwa wanapendana sana na mumewe kiasi kuwa kila mmoja wao ame divert mawasiliano yote ya simu kwa mwenzie
Wana mtoto mmoja.Mbona mimi naona wewe ndo unampa huyo dada ushauri mbovu? Bora waachane now wakati hakuna watoto. Au kuna kitu namiss?