AUTOMATIC UPDATES .
Kila siku katika mtandao kuna kuwa na maongezeko ya patches kadhaa zinazotakiwa kuwekwa katika computer yako , sasa unapojiunga tu kama unatumia windows basi itajiunga moja kwa moja na mtandao wa Microsoft ili kupata hizi updates .
Unachotakiwa ni kudisable automatic updates
..shy,ushauri ulioutoa utapunguza gharama,lakini,kumbuka usalama wa pc au mac utakuwa hatarini!
..labda,kwa kuchangia,...anaweza fanya hivyo kama anafahamu wapi atapata updates za uhakika na zilizo salama na si loaded with malware!na akumbuke kuwa hii anatakiwa kufanya mara kwa mara!
..kuepuka gharama hii kuna costs zake kubwa zaidi!what i'll advise is, for him/her not to download large files[movies,programs,pdf catalogs,etc]on that pc!labda atumie nyingine kama ataweza,either kwenye cafe au ofisini[kama hawajali mtu kutumia pc zao kwa mambo binafsi]!
Kumbuka sio update zote ni muhimu kwa ajili ya matumizi yako ya kila siku ya computer.
..seconded!
ANTIVIRUS UPDATE
Antivirus nyingi zinahitaji updates za moja kwa moja mfano Norton definition yake kwa sasa ni mb 18, mcafee ni mb 23 na zinazidi kuongezeka kila kukicha ili kuweka computer yako salama zaidi , sasa ufanye nini ?
..kama ana-connect mara kwa mara si lazima,kwani updates za kila siku ni ndogo na hazichukui muda mwingi!na mara nyingi hazizidi 900 kb!akiwa ana-connect mara moja lets say kwa wiki mbili,obvious file litakuwa nene!
Ukisema utumie hiyo ttcl kudownload unakazi kubwa kwa sababu spidi yake ni ndogo sana pesa zako zote zitaisha na hautapata hiyo update unayoitaka.
..are you using ttcl mobile[cdma modem] or ttcl broadband[dsl modem]. mobile kwasasa ina-speed nzuri kidogo,zamani ilikuwa slow!. broadband ni kama jina lenyewe linavyojielezea!hivyo ku-download si kazi!na hasa katika broadband its a breeze!
..kwasasa,broadband is the cheapest,95tshs bila kodi kwa 1mb!na mobile ni 260tshs bila kodi kwa 1mb! zantel mobile ni cheap[kitu kama 50tshs kwa 1mb]but is coverage limited!
..ushauri wangu ni kuwa,kama mtu hayuko mobile sana out of dar or any city for that matter na anakaa katika nyumba for at least two years or so,hata mwaka,aweke ttcl broadband!
ONYO :
Unatakiwa uonane na mtaalamu wa mambo hayo anaweza kukusaidia zaidi usijaribi kitu ambacho hujui au huna uhakika nacho haswa katika hatua ya pili ya startup unaweza kuleta madhara kwa programu zingine katika utendaji wake wa kazi.
..zingatia ushauri huu!
Nakaribisha maswali zaidi kutoka kwa wadau mbali mbali , naamini tunaweza kuboresha huduma hizi kama tukiamua kushirikiana na kupashana habari hizi kwa uwazi zaidi
..neno la busara!