Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,228
http://www.vanguardngr.com/2009/12/04/lessons-from-venezuela/Lessons from Venezuela
VENEZUELAN Ambassador to Nigeria, Enerique Fernando Arrundell, could not have offered his advice on Nigerias management of its petroleum resources at a better time. The anchor of governments argument is that higher prices would draw foreign investors to the down stream sector of the industry.
Professor Dora Akunyili, Minister of Information had solicited Venezuelan investments for our refineries.
Mr. Arrundells response was without diplomatese. He launched a profound lecture on Nigerias oil and gas.
In Venezuela, since 1999, weve never had a raise in fuel price. We only pay $1.02 to fill the tank. What I pay for with N12, 000 here (Nigeria), in Venezuela Ill pay N400. What is happening is simple. Our President (Hugo Chavez) decided one day to control the industry, because it belongs to Venezuelans. If you dont control the industry, your development will be in the hands of foreigners.
You have to have your own country. The oil is your countrys. Sorry I am telling you this. I am giving you the experience of Venezuela. We have 12 refineries in the United States, 18,000 gas stations in the West Coast. All we are doing is in the hands of Venezuelans.
Before 1999, we had three or four foreign companies working with us. That time they were taking 80 per cent, and giving us 20. Now, we have 90 per cent, and giving them 10. But now, we have 22 countries working with us in that condition.
It is the Venezuelan condition. You know why? It is because 60 per cent of the income goes to social programmes. Thats why we have 22,000 medical doctors assisting the people in the community. The people dont go to the hospital; doctors go to their houses. This is because the money is handled by Venezuelans. How come
Nigeria that has more technical manpower than Venezuela, with 150 million people, and very intellectual people all around, not been able to get it right? The question is: If you are not handling your resources, how are you going to handle the country?
So, it is important that Nigeria takes control of her resources. We have no illiterate people. We have over 17 new universities totally free. I graduated from the university without paying one cent, and take three meals every day, because we have the resources. We want the resources of the Nigerian people for the
Nigerians. It is enough! It is enough, Minister!
Do Nigerian authorities not know the truth? Is the answer really in deregulation?
Professor Akunyili must have been too stunned to address the issues the ambassador raised. There has been trade between the two countries actually, but we do not have many Venezuelans setting up manufacturing outfits in Nigeria.
I want you to use your good office to send a message across to your people that Nigeria is a goldmine for genuine investors. We want them to come invest just as other investors are doing in the telecoms sector, she said.
May be I would have done the same if I was wearing Bens shoes in 1996. I know this may make me sound like an idiot to some, but am not, I think am not.
Unataka kusema ATC ilikuwa afadhali wakati wa makaburu japo wametuongezea deni tunalowalipa for not only doing nothing but also stealing from us? What about Net Group Problems? Kaa kimya ufurahie matunda ya ujambazi kuliko kututukana waziwazi.Lakini nimekumbuka mengi sana niliyokuwa naongea na Mr Kavishe wa PSRC na kuangalia jinsi tulivyoichezea ATCL, Tazara etc naona kuwa Ben hakukosea sana. (Japokuwa kuna maswali mengi huko TRC).
Hapa jisemee mwenyewe, angalia vitendo vyako ambavyo vinajidhihirisha kutokana na utetezi wako. Kuleta TX mgodini anayefundishwa kazi na wazalendo aliowakuta pale halafu analipwa mara kumi yao ni jambo la kujisifia. Kisha akipata hela zake je akaunti yake iko NMB? Usituchefue hapa. Eboo! Narudia tena you are an idiot.WanaJF tunapolalamika kuhusu ufisadi tujiangalie na sisi wenyewe kwanza, na tuangalie vitendo vyetu vinaifanyia nini Tanzania. Otherwise na sisi tutakuwa walewale tunaopambana nao.
Kama suluhisho la kusababisha makampuni kuwa na ufanisi ni kuyabinafsisha na kama kuuza vitu vya umma kwa wageni ndio njia bora ya kukabiliana na matatizo ya kiutendaji kwanini hawakubinafsisha Ikulu nayo?
Japo umejaribu kujitakasa hayo maneno niliyoweka kwenye red nayarudia tena kwa herufi kubwa kuonyesha msisitizo, YOU ARE AN IDIOT. Kwani nasema hivyo nakunukuu hapo chini
Unataka kusema ATC ilikuwa afadhali wakati wa makaburu japo wametuongezea deni tunalowalipa for not only doing nothing but also stealing from us? What about Net Group Problems? Kaa kimya ufurahie matunda ya ujambazi kuliko kututukana waziwazi.
Bongolender, the concept ya ubinafsishaji ni nzuri, rules of the game na oparation ndio ilikuwa mbaya.
Lengo la msingi ilikuwa kubinafshisha ili kupata mitaji ya kuendeleza kilichokuwepo. Kama ulibahatika kuisoma sera ya ubinafsishaji, fungu la kuuzwa zile malizetu lilikuwa liwekwe kwenye mfuko maalum ambao baadaye ungetumika kuwawezesha Watanzania kumiliki sehemu ya njia kuu za kiuchumi.
Kilichofanyika, tuliprivatize 100%, huyo mzawa aje kumiliki nini?. the right way ilikuwa tuwape 51% ya majority na wazawa waretain angalau 49%, hii ingefanya kila kilicho binafsishwa kiwe pia kinamilikiwa na Watanzania, hali ilivyo sasa, kuna baadhi ya maeneo, Watanzania ni wapangaji tuu in our own land!.
Tulipowapa hivyo viwanda, tulitegemea wangeleta mitaji na kuvifufua, tumewauzia majengo tuu tena kwa bei chee, no valuation onh land!.Walionunua wamenunua, wamejipatia land bure, hawazalishi tena kilichokuwepo, angalia viwanda vya NECO, BORA NA TANGOLD, barabara ya Nyerere, leo ndio kumjengwa yale maofisi na maduka ya kisasa ya imported furniture, its cheap kuagiza kiatu cha mchina kuliko kutengeneza, hivyo vingi ya viwanda vilivyotolewa sadaka, hakuna tena uzalishaji, bali sasa ni uvunaji tuu wa mapesa kutokana na new investment zilizopo!.
Hata kwenye success stories za ubinafsishaji kama TBL, the most benefishary ni Kaburu, japo serikali inapata kodi, its peanut, huo uwekezaji kila kitu kinatoka kwao mpaka toilet paper!.
Steers walipokuja mpaka nyama ya kwenye burger zao ilitoka bondeni!, kisa eti nyama zetu zilikuwa za kiwango cha chini!.
Hili ni moja ya mazoezi makubwa kabisa ya kujenga matabaka ya wenye nacho na wasio nacho, ndo maana hata Ben akajimegea Kiwira ili aingie kwa wenye nacho.
hivi ni nani wakutufanya tuwe na nyama bora, bidhaa bora, nk..? Je sera za kiserikali zipoo kusaidiaa hilooo kwa maana ya institutional capacity to manage the process...
je wafanyabiashara wakitanzania wana kiu ya kufanya biashara kitaalamu kwa maana ya kuelewa na kutumia taasisi husika???
mchango wa business associations katika kuadvocate for better enabling environment na kujenga capacity ya kuwa na viwanda nk ikojeee???
Safi sana fikra za kijamaa na wizi ndo unatukwamisha ati leo hii Watanzania wanang'ang'ania kuendesha makampuni yao wenyewe wakati walipewa fursa hiyo wakayaua! Huu ni unafiki kwanza tutumikishwe halafu tupate akili ya utawala bora ni nini! Lakini hizi kelele nyingi ni njaa!Wana JF nimekuwa nikitafakari kuhusu lawama tunazomtupia sana Bw Ben Mkapa kwa kuuza Mashirika na Makampuni yetu kwa wageni au kwa wawekezaji kama tunavyosema, na sasa tunamuona Ben Kama paka mweusi kwa kazi aliyofanya(may be not on this one only), bila kuangalia ni nini kilichomfanya Ben afanye kama alichofanya, na sijui kama mimi na wewe tungekuwa alipokuwa Ben tungefanya nini wakati ule. Ni wazi kabisa kuwa kuna ka-uzembe kalifanyika au kulikuwa na ka-uvivu ka kufikiri ( kama Ben mwenyewe anavyosema) wakati wa process nzima, bila kujiandaa namna ya ku-reap baada ya kazi yenyewe kumalizika. Na namna ya kuwamilikisha watanzania uchumi wao kwenye mazingira ya wawekezaji wageni.
But wait a minute, was Ben really wrong? Was he really selling our country, or was he just trying to get things going? May be am the last standing skeptic. May be I would have done the same if I was wearing Bens shoes in 1996. I know this may make me sound like an idiot to some, but am not, I think am not.
Kuna siku nilikuwa naongea na Mheshimiwa mmoja aliniambia kuwa hakuna sababu ya kuwaleta nchini watu kufanya kazi ambazo sisi wenyewe watanzania tunaweza kuzifanya. There was a point where I though his words were making sense, and may be there is an element of truth in that. But being a Tanzanian myself, and after working with my fellow Tanzanians for decades, I concluded that, huo ni mtazamo finyu sana, ni mtazamo wa mtu kujifirkiria mwenyewe na sio kuifikiria Tanzania[Julius au NN angesema ndivyo tulivyo]. Labda ni mtazamo wa njaa njaa, au uswahili Swahili. I can clearly see that there is something terrible that we Tanzanians have and we do not want to admit, a cancer which is now eating us as a nation. There is only one man spoke candidly on this, Juma Kapuya. Sisi si waaminifu, tunaweza kufanya kazi vizuri sana, lakini then ni wezi wakubwa hata kama hatuna sababu ya kimsingi ya kuiba, tuna desturi ya kujiibia wenyewe, na kuwasifu wasio wezi. Kuna wanaotoa excuse ya mishahara midogo, lakini ukweli ni kuwa utaona mfanyakazi wa chini wa kampuni mwenye elimu ya gumbaro ni mwaminifu kweli, tena kwa mshahara mdogo tu, ukiangalia meneja mwenye mshahara mkubwa aliyesoma kuliko mzungu wa Oxford au wa US ni mwizi kweli, then why shouldnt I give a job which will benefit Tanzania to useful, less educated and very honest man, who can perform a bit less, and more profitable than my brother. Who is better for Tanzania, a thief brother or honesty honky boy from Cape town? Ni nani mwenye manufaa kwa Tanzania, mwizi mwenyeji alieyelimika sana au mgeni mwenye elimu kidogo mwaminifu na mwenye msaada mkubwa kwa Tanzania na watanzania??? if you give an intelligent answer to this question you will be surprised. Ni kweli unaweza kuwa kuna watanzania wachapakazi kweli, tena in some cases kuliko hata wageni, although wengine ni wavivu na wanapenda maisha ya kibongo kuishi kiushakji na mission town, lakini baadhi yao hasa wale ambao tumewapa dhamana ya uongozi wa makampuni wana unneeded extra-qualities ambazo hazifai kwa taifa letu . This was not politically correct for Ben to say.
Back to Ben stuff. Kuna jamaa mmoja wa PSRC nilikuwa namuuliza kuhusu kama kweli kulikuwa na haja ya kuuza makampuni, alisema wazi kabisa kuwa kila mahali kulikoingia foreign element, kimsingi kulionesha mabadiliko na mafanikio makubwa, japokuwa local elements (siasa za ubinafsi) ziliendelea kukwamisha baadhi ya mambo. Lakini nimekumbuka mengi sana niliyokuwa naongea na Mr Kavishe wa PSRC na kuangalia jinsi tulivyoichezea ATCL, Tazara etc naona kuwa Ben hakukosea sana. (Japokuwa kuna maswali mengi huko TRC).
Rev Kishoka, aliona kuwa ubinafsishaji ulikuwa na maana, lakini bahati mbaya haukufika hasa kwenye sehemu ambayo ilihitaji zaidi huo uninafsishaji, guess where?
WanaJF tunapolalamika kuhusu ufisadi tujiangalie na sisi wenyewe kwanza, na tuangalie vitendo vyetu vinaifanyia nini Tanzania. Otherwise na sisi tutakuwa walewale tunaopambana nao.
Safi sana fikra za kijamaa na wizi ndo unatukwamisha ati leo hii Watanzania wanang'ang'ania kuendesha makampuni yao wenyewe wakati walipewa fursa hiyo wakayaua! Huu ni unafiki kwanza tutumikishwe halafu tupate akili ya utawala bora ni nini! Lakini hizi kelele nyingi ni njaa!
Wana JF nimekuwa nikitafakari kuhusu lawama tunazomtupia sana Bw Ben Mkapa kwa kuuza Mashirika na Makampuni yetu kwa wageni au kwa wawekezaji kama tunavyosema, na sasa tunamuona Ben Kama paka mweusi kwa kazi aliyofanya(may be not on this one only), bila kuangalia ni nini kilichomfanya Ben afanye kama alichofanya, na sijui kama mimi na wewe tungekuwa alipokuwa Ben tungefanya nini wakati ule. Ni wazi kabisa kuwa kuna ka-uzembe kalifanyika au kulikuwa na ka-uvivu ka kufikiri ( kama Ben mwenyewe anavyosema) wakati wa process nzima, bila kujiandaa namna ya ku-reap baada ya kazi yenyewe kumalizika. Na namna ya kuwamilikisha watanzania uchumi wao kwenye mazingira ya wawekezaji wageni.
But wait a minute, was Ben really wrong? Was he really selling our country, or was he just trying to get things going? May be am the last standing skeptic. May be I would have done the same if I was wearing Bens shoes in 1996. I know this may make me sound like an idiot to some, but am not, I think am not.
Kuna siku nilikuwa naongea na Mheshimiwa mmoja aliniambia kuwa hakuna sababu ya kuwaleta nchini watu kufanya kazi ambazo sisi wenyewe watanzania tunaweza kuzifanya. There was a point where I though his words were making sense, and may be there is an element of truth in that. But being a Tanzanian myself, and after working with my fellow Tanzanians for decades, I concluded that, huo ni mtazamo finyu sana, ni mtazamo wa mtu kujifirkiria mwenyewe na sio kuifikiria Tanzania[Julius au NN angesema ndivyo tulivyo]. Labda ni mtazamo wa njaa njaa, au uswahili Swahili. I can clearly see that there is something terrible that we Tanzanians have and we do not want to admit, a cancer which is now eating us as a nation. There is only one man spoke candidly on this, Juma Kapuya. Sisi si waaminifu, tunaweza kufanya kazi vizuri sana, lakini then ni wezi wakubwa hata kama hatuna sababu ya kimsingi ya kuiba, tuna desturi ya kujiibia wenyewe, na kuwasifu wasio wezi. Kuna wanaotoa excuse ya mishahara midogo, lakini ukweli ni kuwa utaona mfanyakazi wa chini wa kampuni mwenye elimu ya gumbaro ni mwaminifu kweli, tena kwa mshahara mdogo tu, ukiangalia meneja mwenye mshahara mkubwa aliyesoma kuliko mzungu wa Oxford au wa US ni mwizi kweli, then why shouldn't I give a job which will benefit Tanzania to useful, less educated and very honest man, who can perform a bit less, and more profitable than my brother. Who is better for Tanzania, a thief brother or honesty honky boy from Cape town? Ni nani mwenye manufaa kwa Tanzania, mwizi mwenyeji alieyelimika sana au mgeni mwenye elimu kidogo mwaminifu na mwenye msaada mkubwa kwa Tanzania na watanzania??? if you give an intelligent answer to this question you will be surprised. Ni kweli unaweza kuwa kuna watanzania wachapakazi kweli, tena in some cases kuliko hata wageni, although wengine ni wavivu na wanapenda maisha ya "kibongo" kuishi kiushakji na mission town, lakini baadhi yao hasa wale ambao tumewapa dhamana ya uongozi wa makampuni wana unneeded extra-qualities ambazo hazifai kwa taifa letu………. This was not politically correct for Ben to say.
Back to Ben stuff. Kuna jamaa mmoja wa PSRC nilikuwa namuuliza kuhusu kama kweli kulikuwa na haja ya kuuza makampuni, alisema wazi kabisa kuwa kila mahali kulikoingia foreign element, kimsingi kulionesha mabadiliko na mafanikio makubwa, japokuwa local elements (siasa za ubinafsi) ziliendelea kukwamisha baadhi ya mambo. Lakini nimekumbuka mengi sana niliyokuwa naongea na Mr Kavishe wa PSRC na kuangalia jinsi tulivyoichezea ATCL, Tazara etc naona kuwa Ben hakukosea sana. (Japokuwa kuna maswali mengi huko TRC).
Rev Kishoka, aliona kuwa ubinafsishaji ulikuwa na maana, lakini bahati mbaya haukufika hasa kwenye sehemu ambayo ilihitaji zaidi huo uninafsishaji, guess where?
WanaJF tunapolalamika kuhusu ufisadi tujiangalie na sisi wenyewe kwanza, na tuangalie vitendo vyetu vinaifanyia nini Tanzania. Otherwise na sisi tutakuwa walewale tunaopambana nao.
Kama suluhisho la kusababisha makampuni kuwa na ufanisi ni kuyabinafsisha na kama kuuza vitu vya umma kwa wageni ndio njia bora ya kukabiliana na matatizo ya kiutendaji kwanini hawakubinafsisha Ikulu nayo?
Waibinafsishe mara ngapi?. Mbona Ikulu imeshabinafsishwa zamani, Mkulu is just the piper playing the tunes, the man who matters most is is the ones who pays the piper, is the one who calls the tunes!.