husnie1703 New Member Joined Nov 4, 2025 Posts 3 Reaction score 2 Nov 8, 2025 #1 Habari, Nahitaji kujifunza kuhusu kupamba kumbi za sherehe Kama zile za Maharusi etc. 1. Kwa Mwenye abcd kuhusu hii Biashara ya Mapambo anipe ushauri na changamoto zake . 2. Naomba anijuze pia sehemu wanayofundishwa hasa short course pia naomba aniambie nataka nikajifunze.
Habari, Nahitaji kujifunza kuhusu kupamba kumbi za sherehe Kama zile za Maharusi etc. 1. Kwa Mwenye abcd kuhusu hii Biashara ya Mapambo anipe ushauri na changamoto zake . 2. Naomba anijuze pia sehemu wanayofundishwa hasa short course pia naomba aniambie nataka nikajifunze.
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 15,319 Reaction score 11,287 Nov 8, 2025 #2 VETA
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,176 Reaction score 77,609 Nov 8, 2025 #3 Ngoja Waje
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,388 Reaction score 72,760 Nov 8, 2025 #4 Ninaweza said: VETA Click to expand... Na kwa wapambaji maarufu wakubwa
husnie1703 New Member Joined Nov 4, 2025 Posts 3 Reaction score 2 Nov 8, 2025 Thread starter #5 Ninaweza said: VETA Click to expand... Asante sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,349 Reaction score 197,820 Nov 9, 2025 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw