Wanawake viumbe wa ajabu sana. Brother yangu alisoma STATES na aliporudi mwaka 1999 alioa mke kutoka kijijini katika familia fulani masikini. mkewe huyo hakuwa amesoma hivyo kaka yangu alijitahidi kumsomesha hadi akamaliza chuo kikuu mwaka 2008. wkati wote huu maisha yao yalikuwa bomba upendo full full. Baada ya kumaliza shule mama huyu alibahatika kupata kazi kampuni moja ya nje na kila wakati anasafiri kwenda ulaya juu ya hayo mshahara wake ni bomba. Bahati mbaya mume wake alipunguzwa kazi katika shirika fulani mwaka jana na anatafuta kazi. Kwa hiyo bread winner kwa sasa ni mama. Kwa hali hii basi mwanamke amejiona kijogoo mume hasikilizwi tena. na zaidi ya hao ni dharau na kejeli kibao. Wewe mwanamme nimekulea sana, hutaki kutafuta kazi umeridhika sana, na matusi kibao. Tayari amesahau alikotoka. Tuwasaidieje kuokoa ndoa hiyo?
never judge before you get to know the other siide of the story! you might be shocked!jogoo wa shamba akiingia mjini kazi kweli kweli jamani huyo mwanamke mbona ana roho mbaya hizo hela zake yeye anafanyia nini...??kwanini anashindwa kumsaidia mmewe katika janga hili
anadhani kupata kazi ni simpo namna hiyo
kwa kifupi hana maadili
kazi kwelikweli!Yaani ni ukweli kuwa some of the wanawake akiwa nacho anataka kutawala, yamenikuta mimi pia lakini nilikuwa a bit smart. Niliamua kuwa low profile na kufanya mambo yangu kimya kimya na kufanikiwa kupata kazi with multinational company nje ya nchi (Europe to be specific)
Mhnnnnnnnnn.....sasa hivi napigiwa simu na kuitwa Darling na respect yote imerudi na pia she also saying she misses me a lot!!!!!! Jamani??????????? Simuelewi.
Alifikia kuninyanyasa sabau ya nyumba, only sababu tulijenga iko kwenye jina lake.....
Yaaani nimeamua sasa mimi wanawake ni wa kuchukua kama daladala tu na sitaki kuoa, nimechukua watoto nakaa nao na yeye yuko free kuja kuwaona anytime lakini sitaki kitu kinaitwa mwanamke wa kuoa!!!!!!!!!
Ni bora style hii na kuwa na amani moyoni kwa mimi kimaoni yangu
jogoo wa shamba akiingia mjini kazi kweli kweli jamani huyo mwanamke mbona ana roho mbaya hizo hela zake yeye anafanyia nini...??kwanini anashindwa kumsaidia mmewe katika janga hili
anadhani kupata kazi ni simpo namna hiyo
kwa kifupi hana maadili
huyo mwana mama inabidi akalizwe kiti moto! asiangalie hapa tu. embu assume kesho na keshokutwa baba anapata kazi na mama anapunguzwa itakuwaje? Inabidi abadili tabia yake chafuWanawake viumbe wa ajabu sana. Brother yangu alisoma STATES na aliporudi mwaka 1999 alioa mke kutoka kijijini katika familia fulani masikini. mkewe huyo hakuwa amesoma hivyo kaka yangu alijitahidi kumsomesha hadi akamaliza chuo kikuu mwaka 2008. wkati wote huu maisha yao yalikuwa bomba upendo full full. Baada ya kumaliza shule mama huyu alibahatika kupata kazi kampuni moja ya nje na kila wakati anasafiri kwenda ulaya juu ya hayo mshahara wake ni bomba. Bahati mbaya mume wake alipunguzwa kazi katika shirika fulani mwaka jana na anatafuta kazi. Kwa hiyo bread winner kwa sasa ni mama. Kwa hali hii basi mwanamke amejiona kijogoo mume hasikilizwi tena. na zaidi ya hao ni dharau na kejeli kibao. Wewe mwanamme nimekulea sana, hutaki kutafuta kazi umeridhika sana, na matusi kibao. Tayari amesahau alikotoka. Tuwasaidieje kuokoa ndoa hiyo?
...Hii inaweza kuwa "inferiority complex" ya mwanamume ...
Ulikuwa ujui kuwa ndio tabia za wanawake hawa?
Ndio maana lazima kujiandaa kisaikolojia kuishi na viumbe hawa otherwise ni pressure tupu ukifa unamuacha anadunda na kuliwa na wanaume wengine. Kamwe mwananmke sio sehemu ya maisha yangu am just taking them because of fulfilling some traditional and body requirements. Kama wanapinga waseme si wako hapa!!!
Ulikuwa ujui kuwa ndio tabia za wanawake hawa?
Ndio maana lazima kujiandaa kisaikolojia kuishi na viumbe hawa otherwise ni pressure tupu ukifa unamuacha anadunda na kuliwa na wanaume wengine. Kamwe mwananmke sio sehemu ya maisha yangu am just taking them because of fulfilling some traditional and body requirements. Kama wanapinga waseme si wako hapa!!!