Hili swala kazi kwelikweli,
Nilisoma na kijana mmoja A-level huko mikoa ya kati,yeye alitokea Dsm,sasa alikuwa anapenda sana kutazama blue/xxx movies,na preference yake ilikuwa hiyo inayoitwa Tigo siku hizi,one thing about him,alikuwa wazi kabisa na hakuficha interest yake katika "kuruka ukuta",kwamba anapokutana na mwanamke hiyo ndiyo njia yake.Na darasani alkiuwa anakaa na kutusimulia kabisa mambo hayo,kuna mwengine alikuwa akitokea Tanga na yeye alikuwa akitusimulia mambo hayo huko kwao.Well nilichokuja kuelewa baadae ni kuwa hii ni athari ya Waarabu ambao inasemwa wako strict sana katika kutunza bikira ya mwanamke,sasa kwa vile haya ni mahitaji ya kimwili njia waliyogundua ni "kuruka ukuta" ndo sababu mambo haya yako ukanda waliokaa sana waarabu sio pwani pekee,bara nenda Tabora ukajionee vituko,pwani inafahamika maana Mombasa ndo inasifika kwa mambo hayo.