John mashaka kama msomi ni reflection ya wasomi wetu tunaowapa dhamana ya kutoa maamuzi sahihi kwa manufaa ya wananchi na matokeo yake ni kutumbukiza kwenye matatizo.
Nimemsikiliza kwenye interview yake na daily news nikasitika….is this the man called financial analyst? Muoneni muongo mkubwa wa wall street
Mkuu mie nimemsoma "KUTOA NI MOYO,SI UTAJIRI"-JOHN MASHAKA - BongoCelebrity .....unajua wengi wakitoka majuu wanatuambia mengi na sisi huku tunawaamini kwa kuwa wanajua kingereza..Heheheheheheehee....kapataje kazi huyu huko Wall Street? Anafanya kazi Wall Street kweli huyu?
Nini hasa kimekushtua kuhusu JM.
Unajua na wewe mkuu hii ni bongo amekuwa akipiga ziara sana kesho keshokutwa utamsikia kawa waziri wako wa fedha...
Unajua na wewe mkuu hii ni bongo amekuwa akipiga ziara sana ...
lol nimetumia factor za kiuchumi hata binti yangu anajua kuwa financial crisis haijawa caused na vita vya iraq na kupanda kwa mafuta...
Soma maelezo haya.....Bali? Nini chanzo cha financial crisis? Nijuze ndugu na mie niweze kujua uongo wa John Mashaka, asizidi kudanganya.
malezo yepi zaidi niliyo kuwekea hapo juu?
au sijaelewa unataka nini mkuu?
Mkuu kumbe hujamsikia vema......
bonyeza ile link ya daily news msikie then tujadili......
Ndo hapo ninaposhindwa kuelewa na mimi. Na kwa kweli nitashindwa kuelewa Wall Street analyst anayedai Iraq war imesababisha economic crisis, kama ni jamaa fulani tu then fine.mkuu mie nasikia waki quote kama mtaalam wa mambo ya kifedha toka wall street wakati mwingine yuko north carolina anahudumu kule
Amesema matatizo ya nishati na vita pamoja na mengine aliyokwisha yataja yamechangia kwenye financial crisis, ni yapi hayo aliyokwisha yataja? Kumbe nawe huna tofauti na John Mashaka