Kwenye red,Kwa nini watanzania hawataki kuongelea mambo ya msingi kwa undani. Mfano elimu ya chuo kikuu leo inafanana na ya shule za kata. wakubwa wanatamba majukwani wameanzisha vyuo vikuu vingi kama UDOM. lakini hawaoni matatizo yaliyopo kwenye vyuo hivyo.
Hakuna vifaa,Hakuna Maprofesa,majengo hayatoshi. Watu wenye Masters ndio walimu ambao nao wamesoma kwa kuunga unga tu. vyuo vikuu vya namna hii vitatufikisha wapi.
Mtoto kafaulu kwa kubahatisha darasa la saba halafu kaenda shule ya kata kafaulu kwa kukairiri kaenda chuo kikuu UDOM. Hapa kweli tutasema tumezalisha msomi wa kuiomboa nchi hii katika ulimwengu huu wa utandawzi, soko la pamoja nk. Tanzania inaelekea pabaya. lakini viongozi wetu wanafurahia sifa rahisi rahisi. Wanchi nao wamelewa fikra za kipumavu za zidumu fikra za mwenyekiti. Taifa hili linahitaji mwelekeo mpya . we are in wrong boat and wrong direction.
Kwa nini watanzania hawataki kuongelea mambo ya msingi kwa undani. Mfano elimu ya chuo kikuu leo inafanana na ya shule za kata. wakubwa wanatamba majukwani wameanzisha vyuo vikuu vingi kama UDOM. lakini hawaoni matatizo yaliyopo kwenye vyuo hivyo.

kwa nini watanzania hawataki kuongelea mambo ya msingi kwa undani. Mfano elimu ya chuo kikuu leo inafanana na ya shule za kata. Wakubwa wanatamba majukwani wameanzisha vyuo vikuu vingi kama udom. Lakini hawaoni matatizo yaliyopo kwenye vyuo hivyo.
Hakuna vifaa,hakuna maprofesa,majengo hayatoshi. watu wenye masters ndio walimu ambao nao wamesoma kwa kuunga unga tu. Vyuo vikuu vya namna hii vitatufikisha wapi.
Mtoto kafaulu kwa kubahatisha darasa la saba halafu kaenda shule ya kata kafaulu kwa kukairiri kaenda chuo kikuu udom. hapa kweli tutasema tumezalisha msomi wa kuiomboa nchi hii katika ulimwengu huu wa utandawzi, soko la pamoja nk. Tanzania inaelekea pabaya. Lakini viongozi wetu wanafurahia sifa rahisi rahisi. Wanchi nao wamelewa fikra za kipumavu za zidumu fikra za mwenyekiti. Taifa hili linahitaji mwelekeo mpya . We are in wrong boat and wrong direction.
nilishasema muda mrefu, UDOM NI bOMU LINALOKUJA KULIPUKA SOON, WALIMU WACHACHE AND PURELY UNQUALIFIED

Kaizer,Hivi Waungwana niulize tu, UDSM ilianza na wahadhiri wangapi 'wenye qualifications"
na je, the other scenario, Kama isingeanzishwa UDOM, hao wanafunzi almost 18,000 wangekuwa wapi sasa hivi given the current capacaity ya public universities, na ada 'za kuruka' za vyuo vikuu binafsi?
Kweli kuna mtu angetegemea, as from 2007, chuo kiwe kimeshajitosheleza kwa wahadhiri wenye qualifications, madarasa pamoja na mabweni, maktaba, vitabu vya kutosha nk?
Isnt it nice to start somewhere? Ninavojua mimi, kwenye chuo kikuu kuna mchanganyiko wa wahadhiri...kuanzia tutorial assistants hadi maprofessa. Kinachoonekana sasa hivi ni kwamba maprofesa wengi wanaelekea kustaafu na hili linasababishwa na sera ya serikali (au ya WB) miaka ya 90 kufreeze ajira. Sasa wakiajiriwa wahadhiri ambao watajiendeleza wakiwa tayari kazini, at the same time kukiwa na back up ya wahadhiri kutoka nje, kuna tatizo gani?
Au tunadhani kuwa vyuo vikuu "vinashuka' tu kama mana jangwani, havi-evolve over time? Unapolinganisha kwa mfano UDOM na UDSM ambayo ilianza 1964, nadhani inakuwa sio fair ....vyuo vingine duniani mfano Cambridge ni vya tangu karne!
Kaizer,
Ningependa kukujibu kuwa UDSM ilianza ikiwa na waalimu wengi tu wa kutosha kutoka Uingereza, Jamaica, na kwingineko waliokuwa well qualified. Wakati huo serikali ilijitahidi sana kuajiri the best minds there was in the academic world. Sizo hizi porojo za sasa za kujenga UDOM bila kufanya maandalizi stahiki na juzi namsikia mkulu wa CCM akijidai kuwa mwaka huu waalimu elfu 15 wanafuzu masomo. UDSM ya 60-70 ilikuwa an intellectual oasis.
Wewe mwanafunzi unahitaji kusoma na kupata exposure kidogo. Maana nyingi ya tuhuma hazina msingi. Otherwise utakuwa miongoni mwa wale wanaopenda kulalamika bila sababu. Nikianza namimi ni mmojawapo wa wanachuo UDOM ila ninijilaumu na kuilaumu nafsi yangu kwa kuwa UDOM kwani nilipata nafasi katika vyuo vitatu UDSM,SUA na UDOM nilishawishika kujiunga na UDOM baada ya kuelezwa na ndugu zangu na rafiki zangu kuhusu sifa za chuo hiki kumbe ni maneno ya kisiasa tu maneno matamu kumbe ubora hakuna kabisa, hii inatia uchungu kwa wapenda maendeleo, hali halisi ndani ya UDOM ukifika utalia
1.hakuna uhuru wa kujieleza, udikteta na u ccm umeezidi, ukitoa wazo zuri wanafikiri wewe ni mwana chadema na unatafutiwa zengwe kufukuzwa, wanachuo waliofukuzwa chuo mwaka juzi wengi ni wana chadema na wasiokuwa na kadi za ccm,kwani kipindi nimewasili chuoni katibu wa ccm kitivo cha elimu alinifuata anipe kadi ya ccm kwa madai kuwa wana ccm majina yao yanapelekwa kwa mkuu wa chuo na hawawezi kufelishwa au kufukuzwa ikitokea mgomo
2.watu wanaosoma kozi za biashara hawakuwa na semina badala yake wamefundishwa kupitia lecture na walimu ambao wanasoma masters udom hii ni aibu kwani walikuwa wakilipua mfano mtu anafundisha hesabu kwa projecta hii inasikitisha
3.kutumiwa kisiasa na wanasiasa kama shabiby, huyu alileta mashati ya ccm pamoja na magari kubebea wanachuo wakaandamane<mimi maandamano huwa ni hiari>kumpokea kikwete pamoja na kumchangia pesa ya kuchukua fomu huku vijijini kwao watu wakifa kwa njaa na shida ya maji hii itapelekea kutengeneza wasomi wapumbavu
4.kutokuwa na haki sawa kisiasa mfano wana ccm huweka matangazo yao na kugawa kadi bila kubugudhiwa lakini kwa chadema ni kosa
5.kukosewa kwa matokeo mara mkwa mara mfano leo mtu ana D anaenda kulalamika anapandiswa daraja au kushushwa kama akibishana na wakubwa
6.mkuu wa chuo bwana kikula kutukana wafanyakazi kuwa wote wako kwa ajili ya dhiki kwani wamepeleka CV ila yeye kachaguliwa na raisi,pia kuwaita wanafunzi wana haramu baada ya kudai haki yao ya kupewa field
7.chuo hakina mtaala wake kwani kina kopi UDSM na vyuo vya nje
8.kuchaguliwa wanafunzi wa HKL kusoma kozi kama B.COM na BBA ambapo kimsingi hawakustahili kuzisoma
Hivi Waungwana niulize tu, UDSM ilianza na wahadhiri wangapi 'wenye qualifications"
na je, the other scenario, Kama isingeanzishwa UDOM, hao wanafunzi almost 18,000 wangekuwa wapi sasa hivi given the current capacaity ya public universities, na ada 'za kuruka' za vyuo vikuu binafsi?
Kweli kuna mtu angetegemea, as from 2007, chuo kiwe kimeshajitosheleza kwa wahadhiri wenye qualifications, madarasa pamoja na mabweni, maktaba, vitabu vya kutosha nk?
Isnt it nice to start somewhere? Ninavojua mimi, kwenye chuo kikuu kuna mchanganyiko wa wahadhiri...kuanzia tutorial assistants hadi maprofessa. Kinachoonekana sasa hivi ni kwamba maprofesa wengi wanaelekea kustaafu na hili linasababishwa na sera ya serikali (au ya WB) miaka ya 90 kufreeze ajira. Sasa wakiajiriwa wahadhiri ambao watajiendeleza wakiwa tayari kazini, at the same time kukiwa na back up ya wahadhiri kutoka nje, kuna tatizo gani?
Au tunadhani kuwa vyuo vikuu "vinashuka' tu kama mana jangwani, havi-evolve over time? Unapolinganisha kwa mfano UDOM na UDSM ambayo ilianza 1964, nadhani inakuwa sio fair ....vyuo vingine duniani mfano Cambridge ni vya tangu karne!
sSi kweli kama ulivyosema kua vyuo vikuu ni kama shule za kata. unapaswa kujua kuwa Tanzania iko ynyuma kiasi katika kutoa elimu ya chuo kikuu ukilinganisha na nchi nyingi. Hivo ni jitihada za serikali kuongeza idadi ya wanafunzi katika ngazi hii. Katika kufanya hivo yapo matatizo yaliyojitokeza na hii si ajabu. Jambo la muhimu ni kujaribu kubainisha kasoro hizo na kushauri nini kifanywe sio kulaumu tu kila kitu. Ukumbuke kuwa wapo wanafunzi wengi wanaomba kusoma na wamekuwa tayari kuzikabili changamotoi wanazopata vyuoni. Popole na kwa mipango mizuri tutfika. Watu wanafanya utafiti katika eneo hili hawajalala. Basi Na tupaze sauti Zetu kwa watunga sera pia tuwape sauti wale wanotufaa ili mambo yaende vizuri. Asante