Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama wanaenda kuuza sura kanisani au wanaenda kusali. Mfano mzuri ni kanisa la chuo kikuu cha Dsm. Hapa kuna mabinti wanaovaa vimini na wanakaa viti vya mbele. Wanapofika huwa wanajitahidi kubana miguu na kuvutavuta vijimini vyao lakini kipindi kinafika wanachia waziii wananika mapaja na viskintight vyao na wengine skintight hazionekani kwa maana watakuwa wameva bikini. Sasa naomba wenye uwezo wa kutoa onyo kwa hawa kina dada watusaidie. Nafikiri makanisa yote yangeweka sheria kwamba ni marufuku mwanamke kuingia kanisani na nguo zinazovuka magoti. Hebu angalia kina mama wa kiislamu wanapoenda msikitini wanajifunga mahijabu na makanga mengi tu. Kwa nini wakristu wasiwe na kanuni na taratibu za mavazi ya kuvaa siku za ibada. Waache kuwatia Ibilisi wachungaji na mapadre kwa kupanua mapaja yao kwenye viti vya mbele. Naomba tusaidiane kupambana na hili. Thanks in advance. May Almighty Father guide you and bless you so that you can come up with good and reasonable ideas on how to handle this damned matter.

Ni kweli maneno yako, naongezea hapo... Ukitazama na kutamani, umezini...!katika agano la kale Amri ya sita inasema USIZINI lakini kwenye agano jipya Bw Yesu anasema ukitamani tu, bac umeshazini, kwa hiyo bwana mkubwa zambi haina eneo ukifanyia kanisani au ****** ni sawa tu, kama kero yako ni kimini kwa nini iwe issue kanisani, ina maana uko unakotembea uwaonangi na vimini, kama kwako ni dhambi kuvaa kimini kwa nini dhambi hiyo iwe kanisani tu,
jipange ulete hoja yako vizuri
Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama wanaenda kuuza sura kanisani au wanaenda kusali. Mfano mzuri ni kanisa la chuo kikuu cha Dsm. Hapa kuna mabinti wanaovaa vimini na wanakaa viti vya mbele. Wanapofika huwa wanajitahidi kubana miguu na kuvutavuta vijimini vyao lakini kipindi kinafika wanachia waziii wananika mapaja na viskintight vyao na wengine skintight hazionekani kwa maana watakuwa wameva bikini. Sasa naomba wenye uwezo wa kutoa onyo kwa hawa kina dada watusaidie. Nafikiri makanisa yote yangeweka sheria kwamba ni marufuku mwanamke kuingia kanisani na nguo zinazovuka magoti. Hebu angalia kina mama wa kiislamu wanapoenda msikitini wanajifunga mahijabu na makanga mengi tu. Kwa nini wakristu wasiwe na kanuni na taratibu za mavazi ya kuvaa siku za ibada. Waache kuwatia Ibilisi wachungaji na mapadre kwa kupanua mapaja yao kwenye viti vya mbele. Naomba tusaidiane kupambana na hili. Thanks in advance. May Almighty Father guide you and bless you so that you can come up with good and reasonable ideas on how to handle this damned matter.
Wana JF kuna jambo limekuwa likinisumbua sana kwa siku nyingi. Kila niendapo kanisani huwa najaribu kuangalia dada zetu wanavyovaa na huwa najiuuliza maswali mengi sana. Nashindwa kuelewa kama wanaenda kuuza sura kanisani au wanaenda kusali. Mfano mzuri ni kanisa la chuo kikuu cha Dsm. Hapa kuna mabinti wanaovaa vimini na wanakaa viti vya mbele. Wanapofika huwa wanajitahidi kubana miguu na kuvutavuta vijimini vyao lakini kipindi kinafika wanachia waziii wananika mapaja na viskintight vyao na wengine skintight hazionekani kwa maana watakuwa wameva bikini. Sasa naomba wenye uwezo wa kutoa onyo kwa hawa kina dada watusaidie. Nafikiri makanisa yote yangeweka sheria kwamba ni marufuku mwanamke kuingia kanisani na nguo zinazovuka magoti. Hebu angalia kina mama wa kiislamu wanapoenda msikitini wanajifunga mahijabu na makanga mengi tu. Kwa nini wakristu wasiwe na kanuni na taratibu za mavazi ya kuvaa siku za ibada. Waache kuwatia Ibilisi wachungaji na mapadre kwa kupanua mapaja yao kwenye viti vya mbele. Naomba tusaidiane kupambana na hili. Thanks in advance. May Almighty Father guide you and bless you so that you can come up with good and reasonable ideas on how to handle this damned matter.
Sawa kabisa inatakiwa ujizuie. Kwa maana hiyo kama watu wataingia kanisani wakiwa uchi kabisa utasema kila anaenda kanisani kusali, sasa huoni uvaaji huo unakuwa kikwazo kwa wengine?Wewe mkuu sasa unaenda kanisani kufanya nini? tunajua ndio macho hayana pazia lakini sio kihivo unatakiwa ujizuie some time manake kutakuwa hakuna maana ya wewe kwenda kanisani
Acha jazba dada yangu Prettywatanzania tumezidi kulalamika, mbona nchi za ughaibuni watu wanaenda kanisani na vimini au short pants watu hawalalamiki? Kwani kanisani ulienda kumuomba Mungu au kuangalia watu wamevaaje? Au nyie wanaume waafrika mpo tofauti na wanaume wa huko ughaibuni, au nyie ndio mnajua kuhisi sana mnapoona msichana kavaaa nguo fupi?
We Muteso kama unaenda kanisani nenda kasali, usiende kuangalia wasichana wamevaaje. Wasichana wengine wanapovaa nguo fupi sio kwamba ili kuwavutia wanaume, ila mwingine nguo fupi ndio anayopenda.
Mungu anaangalia moyo na sio mavazi, kinachotakiwa ni kuwa na moyo msafi mbele zake.
Mkuu pole sana kwa yanayokukumba unapoenda kanisani, kimsingi yapo sana sio Lutherani pekee, wala Pentecoste pekee, wala Roman Catholic pekee. Kimsingi ni madhehebu mengi.
Nilichoshangaa hapa ni kwa wachangiaji kukushambulia na kukusasambua wewe badala ya kutoa ushauri nini kifanyike hawa dada zetu waache kwenda na nguo fupi kanisani. Kwakuwa sasa imefika wakati hawa dada na wachumba na wake zetu wanaenda wamevaa suruali za kubana kanisani. Something which is very bad na kinahitaji kukemewa na kila mtu anayefahamu misimamo na taratibu za kanisa.
Sidhani kama kwa kuona au kuangalia hili au wanawake waliovaa vimini kanisani ndio kuzini, nakataa.
Kimsingi naomba tuache kumshambulia mtoa mada ila tuwaambie ukweli hawa wanawake waache kuiga kila kitu cha nje na kukileta hapa na kuharibu misingi mizuri ya makanisa kwenye ibada
Nawasilisha
hakuna tatizo watu wakienda kanisani kama wanakwenda msikitini kama kufanya hivyo haitamfanya kukmkosea Mungusasa wewe unataka watu wende makanisani kama wanakwenda misikitini ?watu wanakwenda na wakati.nguo ni kivazi chake mtu binafsi pale anakuwepo kumuabudu mungu wake kwani hujasikia kuwa Gays ni mtu mambo yake binafsi akiwa kanisani anakwenda kuabudu .
hakuna tatizo kama hiyo ndiyo ambayo haitamchukiza Muumba waosasa wewe unataka watu wende makanisani kama wanakwenda misikitini ?
Wewe nenda kanisani na timiza ajenda yako. Kila mtu anaenda hapo na ajenda yake. Hao akina dada nao wana ajenda yao. Wewe jali ya kwako tu na wala usijali wao wanavaaje. Just leave them alone.