Kobe kule airpot kuna maduka ambayo yanakatwa kilakukicha mfano kama ww nimsafiri ukiwa unaingia internation dep pare final security kuna kiduka wamesha kiongeza ambacho wamebana eneo na wasafiri kukaa au get namba 5 pale mlangoni tena wamekata kidukakingine.mimi sikatai maduka ila yaendane na eneo husika nowdays nyerere inabeba watu wengi kilakukicha wanaongezeka sasa unapo punguza eneo mazaranimakubwa kupita faida .mwakiyembe yy ndo waziri wa uchukuzi ndo maana namuingiza hapa yeye kama yeye hapiti huko yy nazani upita vip loange.
Una ujumbe ila maneno yako kama muhamiaji haramu.

Pare,loange ,nazani,mazarani,mwakiyembe! Duh yaani majanga matupu
Mbna hueleweki
Celin jifunze kuandika vzr, hueleweki na kama ni dent basi jitahidi ujue kupanga kwa TEE/C (Topic sentence, explain, example & conclude)
TZ hopeless planners !! "GROWTH"Kobe kule airpot kuna maduka ambayo yanakatwa kilakukicha mfano kama ww nimsafiri ukiwa unaingia internation dep pare final security kuna kiduka wamesha kiongeza ambacho wamebana eneo na wasafiri kukaa au get namba 5 pale mlangoni tena wamekata kidukakingine.mimi sikatai maduka ila yaendane na eneo husika nowdays nyerere inabeba watu wengi kilakukicha wanaongezeka sasa unapo punguza eneo mazaranimakubwa kupita faida .mwakiyembe yy ndo waziri wa uchukuzi ndo maana namuingiza hapa yeye kama yeye hapiti huko yy nazani upita vip loange.
Una ujumbe ila maneno yako kama muhamiaji haramu.