Mkuu tuwekee hapa basi tuzipakue na sisi.
Mkuu Gurudumu...If you dont mind Weka hapa huo mkanda mkuu, ili tuuone!
Mimi nina cd moja ya video na audio clip ya hotuba za siku ya mazishi. Jinsi ya kuziapload zimenishinda kwa kweli.
Du...mkuu, dvd za porno kwani zilikuwa na shida sasa?..wakati huo niko dar (nikiwa barubaru) tulikuwa tunaenda pale round-about ya msimbazi na uhuru(kama unaelekea Mnazi-1, ukizuga dakika 3 pale tayari masela washatokeza wanakuvuta uchochoro, unaonyeshwa za wabongo(Magomeni, Tandale brands etc), waasia, wakenya unajisevia mwenyewe..ha ha haaaa!..(thats History now)!wewe PJ najua uko arusha, utapata tu. jaribu kufanya kama wakati ule ulipokuwa unatafuta DVD za porno..
nikudokeze tu kwamba tafuta kwa watu ambao ni official, kwani ndio wanaweza kutumia rasilimali za ofisi kufanya hiyo kazi, na wengi wao ndio waliokuwa na uwezo wa kurekodi
sasa si wa mbali ndo tumekosa uhondo huo??? gurudumu tafadhali tafuta namna nyingine ya kupost kiusalama ili tupate hiyo taarifa muhimu
Aogope kitu gani mkuu?...Hizi ni zama za utandawazi bana!...Kama gurudumu unaogopa usalama wako,naomba utujuze pa kuipata hata direction tu,,plz
wewe PJ najua uko arusha, utapata tu. jaribu kufanya kama wakati ule ulipokuwa unatafuta DVD za porno..
nikudokeze tu kwamba tafuta kwa watu ambao ni official, kwani ndio wanaweza kutumia rasilimali za ofisi kufanya hiyo kazi, na wengi wao ndio waliokuwa na uwezo wa kurekodi
Aogope kitu gani mkuu?...Hizi ni zama za utandawazi bana!...
Una backup copy unitumie.....plz....Du...mkuu, dvd za porno kwani zilikuwa na shida sasa?..wakati huo niko dar (nikiwa barubaru) tulikuwa tunaenda pale round-about ya msimbazi na uhuru(kama unaelekea Mnazi-1, ukizuga dakika 3 pale tayari masela washatokeza wanakuvuta uchochoro, unaonyeshwa za wabongo(Magomeni, Tandale brands etc), waasia, wakenya unajisevia mwenyewe..ha ha haaaa!..(thats History now)!
Anyway, weka hapa kwaajili ya wale wasio na njia ya kuziona, ok mazee?
hell noooooooo.....apo red sijapenda.
PJ ni mtu wa hoja, kama ulivyo wewe Gurudumu.
unge-m-PM tu.
Nitumie kwenye email gurudumu nitatundika.....ivisible siku hizi kawa academyInvivisible