Hi, Unajua kuwa kuna watu wanapiga interview siku hizi harafu CV na vyeti vyao wanapewa watu wengine? Fanyeni uchunguzi jamani, tabia hiyo chafu ipo nami ndo nimesikia tu, sijui tunaelekea wapi jamani?
YA NI KWELI HIYO TABIA IMEENEA SANA LAKINI SIKU HIZI WATU WENGI WANANUNUA KAZI , MFANO MAMA WATOTO WANGU ALIFANYA INTERVIEW SEHEMU KULE MIKOCHENI KATIKA KAMPUNI YA BIZ CONSULT ALIPOSHINDA INTERVIEW AKAAMBIWA KWANZA ALIPE LAKI 2 KWA ILI AWEZE KUANZA KAZI HIYO SASA YULE DADA ANAMSUMBUA SANA KUMPIGIA SIMU ANATAKA HIZO HELA
ILA YEYE ALIOMBA KAZI KUPITIA TOVUTI YA www.mygoli.com INAWEZEKANA HIZI PESA SIJUI NDIO MYGOLI WANAZITAKA HAWAWEKI MAMBO WAZI HAWA
Nilichofanya mie ni kuwashtua wanajamii kua kazi ipo.
Kazi ni kwao kutembelea tovuti ya AFDB na ku-apply.
Nina mwenzangu anafanya huko na hua ananipa hizi nyeti kabla
hazijatiwa public.