Naombeni mnisaidie ninyi mnatumia njia gani kuwatambua askari kanzu.
...and majambazi wengi ni EX-Askari KanzuUtawatambua kwa matendo yao - BTW: Askari Kanzu wengi ni ex-Majambazi!
Thanks, lakini je, kwani defender zote ni mali ya Police?
Aisee umenichekesha sana!