Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,401
- 3,457
Ndoto inaweza kuwa kweli....sishangaiKipindi cha JPM, Tundu Lissu alipigwa risasi.
Kikwete, kwa ubavu na nguvu zake, alisaidia Tundu Lissu kuvuka mipaka na kwenda kupata matibabu nje ya nchi.
JPM akazuia watu kwenda kumtembelea Tundu Lissu.
Samia akapuuza zuio hilo na kwenda kumtembelea Tundu Lissu nchini Kenya.
Ghafla, JPM akafariki dunia na Tundu Lissu akarudi Tanzania kwa ruhusa ya Samia.
Ghafla tena, Tundu Lissu akawa na mgogoro na Samia.
Hatujakaa sawa, Tundu Lissu yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini, mara paap! Nchimbi anajiuzulu.
Wakati huo Tundu Lissu bado yupo ndani.
Kisha, kufumba na kufumbua, Tundu Lissu anaachiwa kwenye tuhuma za uhaini, lakini anafungwa kwa kosa la uchochezi.
Kesho yake, tusishangae kusikia ametoka kwa msamaha wa Rais Samia.
Mara paap! Tundu Lissu anakuwa Rais, Nchimbi Waziri Mkuu, au kinyume chake.
Baada ya hapo, tusishangae kuona baadhi ya watu waliopo sasa kwenye serikali wakijumuishwa katika serikali ya Tundu Lissu.
Na kwa siasa za Tanzania, huenda Tundu Lissu akawa anaiongoza CCM B, akishirikiana na Nchimbi, ingawa sijui kipindi hicho CCM B itakuwa inaitwaje.
Je, mtauliza kwa nini?
Kwa sababu sisi Watanzania tuna tabia ya kusahau haraka.
HII NDIYO SIASA!
Kwa mimi raia wa maporini huku Charawe, kuwezekana haya ni ndoto za Mchana,Kipindi cha JPM, Tundu Lissu alipigwa risasi.
Kikwete, kwa ubavu na nguvu zake, alisaidia Tundu Lissu kuvuka mipaka na kwenda kupata matibabu nje ya nchi.
JPM akazuia watu kwenda kumtembelea Tundu Lissu.
Samia akapuuza zuio hilo na kwenda kumtembelea Tundu Lissu nchini Kenya.
Ghafla, JPM akafariki dunia na Tundu Lissu akarudi Tanzania kwa ruhusa ya Samia.
Ghafla tena, Tundu Lissu akawa na mgogoro na Samia.
Hatujakaa sawa, Tundu Lissu yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini, mara paap! Nchimbi anajiuzulu.
Wakati huo Tundu Lissu bado yupo ndani.
Kisha, kufumba na kufumbua, Tundu Lissu anaachiwa kwenye tuhuma za uhaini, lakini anafungwa kwa kosa la uchochezi.
Kesho yake, tusishangae kusikia ametoka kwa msamaha wa Rais Samia.
Mara paap! Tundu Lissu anakuwa Rais, Nchimbi Waziri Mkuu, au kinyume chake.
Baada ya hapo, tusishangae kuona baadhi ya watu waliopo sasa kwenye serikali wakijumuishwa katika serikali ya Tundu Lissu.
Na kwa siasa za Tanzania, huenda Tundu Lissu akawa anaiongoza CCM B, akishirikiana na Nchimbi, ingawa sijui kipindi hicho CCM B itakuwa inaitwaje.
Je, mtauliza kwa nini?
Kwa sababu sisi Watanzania tuna tabia ya kusahau haraka.
HII NDIYO SIASA!
Una kumbuka kwamba hata Mbowe alikuwa na sifa hizo kabla hatujamjua kwamba alikuwa agent from another side/CCM?Sio Lissu tunayemfahamu. Tatizo nchi haijawahi kuwa na upinzani wa kweli huko nyuma sasa huyu jamaa amewaonesha maana halisi ya upinzani ndipo wanapopatwa kimuhemuhe hawajawahi kutarajia upinzani ungefika stage hii.
Lissu ni mmoja asiyeyumbishwa na chochote na ukitaka kuamini hili waulize waliosoma na Lissu tangu primary hadi chuo watakwambia misimamo ya huyu mtu.
Pole sana mkuu wazima huko maporini?Kwa mimi raia wa maporini huku Charawe, kuwezekana haya ni ndoto za Mchana,
Yaani kutoka kuwa Makamu wa Rais hadi waziri Mkuu?
Kikwete na Kundi lake ndio walikuwa wanamtumia Lissu Lema kuivaa serikali ya awamu ya 5 leo hii Kikwete kampotezea Lissu
Wakifanikiwa Kumkalisha Lisu basi tutakaa sana.Kipindi cha JPM, Tundu Lissu alipigwa risasi.
Kikwete, kwa ubavu na nguvu zake, alisaidia Tundu Lissu kuvuka mipaka na kwenda kupata matibabu nje ya nchi.
JPM akazuia watu kwenda kumtembelea Tundu Lissu.
Samia akapuuza zuio hilo na kwenda kumtembelea Tundu Lissu nchini Kenya.
Ghafla, JPM akafariki dunia na Tundu Lissu akarudi Tanzania kwa ruhusa ya Samia.
Ghafla tena, Tundu Lissu akawa na mgogoro na Samia.
Hatujakaa sawa, Tundu Lissu yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini, mara paap! Nchimbi anajiuzulu.
Wakati huo Tundu Lissu bado yupo ndani.
Kisha, kufumba na kufumbua, Tundu Lissu anaachiwa kwenye tuhuma za uhaini, lakini anafungwa kwa kosa la uchochezi.
Kesho yake, tusishangae kusikia ametoka kwa msamaha wa Rais Samia.
Mara paap! Tundu Lissu anakuwa Rais, Nchimbi Waziri Mkuu, au kinyume chake.
Baada ya hapo, tusishangae kuona baadhi ya watu waliopo sasa kwenye serikali wakijumuishwa katika serikali ya Tundu Lissu.
Na kwa siasa za Tanzania, huenda Tundu Lissu akawa anaiongoza CCM B, akishirikiana na Nchimbi, ingawa sijui kipindi hicho CCM B itakuwa inaitwaje.
Je, mtauliza kwa nini?
Kwa sababu sisi Watanzania tuna tabia ya kusahau haraka.
HII NDIYO SIASA!
Analala kwenye jengo la ccm,anakula chakula kilicho andaliwa na wanao lipwa na ccmWakifanikiwa Kumkalisha Lisu basi tutakaa sana.
Dr. Alikuwa amechukua inchi lakini huku nyuma mwenyekiti wake mbowe alikuwa amechukua pesa ndefuUnachosema mkuu kinaweza tokea. Watoto wadogo hawajui tulipotoka, hawajui tuliwahi kuwa na timu zenye misimamo mikali hadi unaogopa..
Mnakumbuka kipindi kile convoy ya akina Dr.Slaa et al. Ilipokuwa ikiwa na movement yake? Leo wako wapi?
Maporini huku tupo hatujambo,Pole sana mkuu wazima huko maporini?
Ni kukumbusha kwamba siasa zetu za tz hazitabiriki
Kuna kipindi rowasa alikuwa na kashfa kubwa ya ufisadi kupitia Richmond
Lakini akaja akaja chadema kipindi Cha mbowe akapewa agombee uraisi,""
Yani aliye iibia serikali akapewa agombee kuiongoza serikali
Naili ujue wa Tanzania vichwa za kuku tukamchagua hivyo hivyo akashinda japo alikuja Kwa ka,I maalumu ya kuhakikisha upinzani HAU chukui inchi