Pole sista, sijui bongo tuna marriage counselling au la! Nadhani ingewasaidia sana lakini kwa kifupi ni kuwa kati yenu kuna Communication breakdown tena kuubwa tu. Wacheki wazee wawasaidie nadhani ndo counselling yetu waafrika. Usiache tatizo likawa kubwa na kisha jamaa kuvuka mpaka, you'll feel like a prisoner in your own house.
Wacheki wazee na mtatue pamoja naye na si peke yako na at least jamaa ameanza kuona mabadiliko yako kuwa unaathirika, thats a good sign, komaa ila usimpeleke kwa staili ya kumshtaki just omba ushauri wao.
Good Luck.
Nakubaliana na wazo lako mkuu, ila nina mtazamo tofauti kidogo. Kwa nini wasikalishane wenyewe kwanza, mdada akatoa dukuduku lake kwa mumewe, wakayaongea at their level kabla ya kuwashirikisha 'mapilato'? Manake huwa napata taabu sana kumshirikisha mtu wa tatu kwenye masuala ya ndoa, ukute kitu chenyewe kingeweza kumalizwa na wanandoa wenyewe.
komaa ila usimpeleke kwa staili ya kumshtaki just omba ushauri wao.
Good Luck.
Namna ya kushirikisha mtu wa tatu ni pale mshirikishwaji anamkaribisha nyumbani na atakaa hapo zaidi ya siku moja then huyo mshirikiswaji ataibua hilo "suala" as if ni observation yake kwa stay yake pale.Kiluminati,
Ushauri wako ni murua kabisa..ila si unajua tena watu wengi wanaamini mambo ya mke na mume yanatakiwa kushughulikiwa bila kumwingiza mtu wa tatu hata kama ni ndugu - mzazi etc.The moment unapoingiza mtu wa tatu, inatafsirika kuwa umeshtaki.... unaweza kumshauri ni style ipi atumie kushirikisha ndugu ili wapate counselling.Sioni ni vipi, kwa mfano huyu Bint atawaendea kwa ushauri bila kuwapa background ya tatizo... na hii nayo itaonekana ni kushtaki.