Ufugaji samaki

Nyanjigez

New Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Habari Wakuu
Nazalisha na kuuza chakula cha samaki starter na grower. Kama kuna mtu anaitaji tuzungumze...
 
Unazalisha nini sasa? Toa maelezo yaliyonyooka, kama ni chakula bei gani, mawasiliano?
 
Mkuu. Maelezo yako kuhusu vyakula vya samaki katika mnyororo wa ufugaji bora hayanyooki.

Unazalisha mwenyewe au unafanya reparking au ni msambazaji wa bidhaa za watu.

Mojawapo ya eneo lenye chngamoto hasa chkula bora ni samaki. Bdo kuna unjaja ujanja tu.

Shida ya wanaojiita wazalishaji hawana mashamba ya mfano wanayofanyia tafiti bidhaa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…