Kwani anayependekeza majina ni Kikwete? Au huko wanakopendekezwa hakuna Wakristo?
MMKJ hata tukijaribu kulifumbia macho jambo hili liko wazi.Jamani.. udini siyo idadi!!! na udini siyo majina!
Sasa nani anaonekana mdini hapa, wewe au hao walio wachaguwa!?Hii ni obvious small minds ziko hivyo wao hawaoni beyond mabega yao, na ndio maana pamoja na yote kuondoka kwa Lowassa kumewafurahisha kwa kuwa mbele yake wasingeweza kufanya huo upumbavu wao.
Tatizo ni unafiki wa wa kina Chiligati hawawezi kukemea kwa kuwa wanajiona hawakustahili hizo position walizonazo, na kwa vile chama kimajaa wanafika hakuna atakae thubutu kuhoji hilo angalia UVCCM wamejaa wakina nani?
Tutake tusitake lazima tutamwaga damu kikwete anatupeleka huko expeditiously na sisi tunamuangalia tu hatutaki kumtoa.
Mimi naomba Mungu usiku na mchana Lowassa arudi maana ndio kupona kwetu jamani wameshashika kasi hawa watu hawarudi nyuma, hawana haya wala aibu, angalia walivyogeuza mashirika yetu, ndio maana yanazidi kufa, huwezi kuongoza nchi hii na dini moja JK utake usitake huwezi kuligeuza hilo.
ACHA KUTUHARIBIA NCHI YETU WEWE UMEPEWA NAFASI USIYOSTAHILI SHUKURU MUNGU PITA TUACHE SALAMA MUOGOPE MUNGU UNAYOYAFANYA YATAMWAGA DAMU ZETU WATOTO WETU WATAGEUKA MAYATIMA TUMZUIENI JAMANI CHONDE CHONDE
Haya mawazo ni ya kibaradhuli kwelikweli! Yesu anahusika na nini na mambo ya siasa? Watu wengine bwana!Mmesahau kama hawa ndio waanzilishi wa Chama? au mmekua na short memory wakati nyie mnashabikia wakoloni, wenzenu walianzisha chama kwa kupambana na wakoloni
wakati huo nyie mnawaona wazungu kama yesu, kwa sababu picha ya YESU ni mzungu mlikataa kabisa kujiunga na chama. Kwa nini usijiunge na CHADEMA cha wakiristo kinachoongozwa na Mchungaji Slaa?
Haya mawazo ni ya kibaradhuli kwelikweli! Yesu anahusika na nini na mambo ya siasa? Watu wengine bwana!
Picha ya YESU inaonyesha wazi yesu alikua Mzungu, Right? ndio maana mababu zako hawakutaka kujiunga na CCM/tanu kwa sababu kilikua na mkakati wa kuwang'oa wazungu, wakati huo wafuasi wa yesu {kama picha yake ya kizungu} waliwakumbatia wazungu wakifikiri ni watakatifu kama yesu
Kwa sababu waanzilishi walikua waislam na ndio bado ni majority nchini na ccm pia. kama upendi chama kajiunge chadema kinachoongozwa na wachungaji. full stop.
Soma article vizuri usichague tu sehemu ukaanza kulalamika na dhani sasa utafahamu kuwa yesu hapa sio issue, issue ni vipi mko wachache kwenye chama
Umekunywa nini wewe? Mbona unaongea mazingaombwe waziwazi? Yesu alikuwa mzungu? Vipi wewe? Halafu Yeye anaingiaje kwenye Siasa na vyama vyake? Wewe nawe!Picha ya YESU inaonyesha wazi yesu alikua Mzungu, Right? ndio maana mababu zako hawakutaka kujiunga na CCM/tanu kwa sababu kilikua na mkakati wa kuwang'oa wazungu, wakati huo wafuasi wa yesu {kama picha yake ya kizungu} waliwakumbatia wazungu wakifikiri ni watakatifu kama yesu
Kwa sababu waanzilishi walikua waislam na ndio bado ni majority nchini na ccm pia. kama upendi chama kajiunge chadema kinachoongozwa na wachungaji. full stop.
Soma article vizuri usichague tu sehemu ukaanza kulalamika na dhani sasa utafahamu kuwa yesu hapa sio issue, issue ni vipi mko wachache kwenye chama
Pumba tupu!
Umekunywa nini wewe? Mbona unaongea mazingaombwe waziwazi? Yesu alikuwa mzungu? Vipi wewe? Halafu Yeye anaingiaje kwenye Siasa na vyama vyake? Wewe nawe!