Emmanuel Luoga
Senior Member
- Oct 26, 2012
- 111
- 29
Aaaaghrrrrr!!!!!! mimi nilijua unatangaza tarehe ya uchaguzi kumbe simulizi za sungura na fisi?
mleta mada hana hoja ya msingi, matarajio yangu ni kuona tarehe ya uchaguzi kumbe anatuletea hadithi za pwagu na pwaguzi? kweli unamtindio wa ubongo, si kosa lako, ni uwezo mdogo wa uwelewa ndo unakusumbua.Aaaaghrrrrr!!!!!! mimi nilijua unatangaza tarehe ya uchaguzi kumbe simulizi za sungura na fisi?
Mie nilidhani makamanda tunafanya uchaguzi hivi karibuni?maana inabidi tubadilishe mtu kwenye nafasi ya Katibu Mkuu,huyu tuliyenaye ni full majanga,nasikia kampachika mimba house girl wake.
CCM ni wajanja sana wanatakakuifundisha CHADEMA ili ifuate matakwa yao kwa kisingizio cha demokrasia.Isije ikawa magamba wamemwandaa mamuluki ambae wanataka kumupenyeza kwenye safu ya uongozi wa CHADEMA ili wapate kaunafuu fulani baada ya kubanwa kisawa sawa na uongozi uliyopo.Hii huruma ya magamba kwa CHADEMA wanaitoa wapi?Tangu lini magamba wakawa na demokrasia ya kweli kiasi cha kutaka kuifundisha CHADEMA demokrasia?.Mbona Mwenyekiti wao wa kwanza Jk Nyerere alikaa kwenye uongozi wa TANU bila kuitisha uchaguzi mpaka akaipeleka kwenye uhuru mwaka1961 hata baada ya nchi kupata uhuru aliendelea kuwa mwenyekiti.Ikazaliwa CCM akaendelea kuwa mwenyekiti hivyo hivyo huku akiendelea kuwa Rais wa Tz hata alipoacha urais kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 alikataa kukabidhi nafasi ya mwenyekiti wa chama alikuja kukabidhi baada ya kujiridhisha kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukabidhi nafasi hiyo.tangu wakati huo nafasi ya Urais na kwenye chama wagombea walikuwa ni mwenyekiti na kivuli mtindo ambao unaendelea mpaka sasa kwenye nafasi ya uwenyekiti wa chama ambapo ni maruku mwenyekiti wao kupingwa mpaka baada ya muda fulani kupita.Ukija upande wa CHADEMA hakuna hata kiongozi mmoja aliekaa zaidi ya miaka 30 wawe waasisi wa chama au awe nani.Ukiangalia kwenye safu ya uongozi wote ni viongozi wapya humukuti kiongozi wa mwaka 47.CHADEMA wanafaa kuwa walimu wa demokrasia.
Demokrasia ya kuwa mwenyekiti wa kudum??CCM ni wajanja sana wanatakakuifundisha CHADEMA ili ifuate matakwa yao kwa kisingizio cha demokrasia.Isije ikawa magamba wamemwandaa mamuluki ambae wanataka kumupenyeza kwenye safu ya uongozi wa CHADEMA ili wapate kaunafuu fulani baada ya kubanwa kisawa sawa na uongozi uliyopo.Hii huruma ya magamba kwa CHADEMA wanaitoa wapi?Tangu lini magamba wakawa na demokrasia ya kweli kiasi cha kutaka kuifundisha CHADEMA demokrasia?.Mbona Mwenyekiti wao wa kwanza Jk Nyerere alikaa kwenye uongozi wa TANU bila kuitisha uchaguzi mpaka akaipeleka kwenye uhuru mwaka1961 hata baada ya nchi kupata uhuru aliendelea kuwa mwenyekiti.Ikazaliwa CCM akaendelea kuwa mwenyekiti hivyo hivyo huku akiendelea kuwa Rais wa Tz hata alipoacha urais kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 alikataa kukabidhi nafasi ya mwenyekiti wa chama alikuja kukabidhi baada ya kujiridhisha kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukabidhi nafasi hiyo.tangu wakati huo nafasi ya Urais na kwenye chama wagombea walikuwa ni mwenyekiti na kivuli mtindo ambao unaendelea mpaka sasa kwenye nafasi ya uwenyekiti wa chama ambapo ni maruku mwenyekiti wao kupingwa mpaka baada ya muda fulani kupita.Ukija upande wa CHADEMA hakuna hata kiongozi mmoja aliekaa zaidi ya miaka 30 wawe waasisi wa chama au awe nani.Ukiangalia kwenye safu ya uongozi wote ni viongozi wapya humukuti kiongozi wa mwaka 47.CHADEMA wanafaa kuwa walimu wa demokrasia.
Mada inahusu uchaguzi wa SACCOS ya chadema. Suala la katiba tunasubiri juice siku ya jumanneKalenda ya uchaguzi ni 2014 sasa tuzungumzie katiba, mambo ya uchaguzi wa chadema yatatangazwa wakati ukifika na wananchama wake wataamua nani awaongoze,
Vipi kuhusu yule diwani wa chadema moshi aliyepiga fedha ya mradi wa wananchi akaswekwa lupango. Lissu ataenda kumtetea?Kalenda ya uchaguzi ni 2014 sasa tuzungumzie katiba, mambo ya uchaguzi wa chadema yatatangazwa wakati ukifika na wananchama wake wataamua nani awaongoze,