K Karlmakeen Member Joined Nov 5, 2010 Posts 17 Reaction score 2 Dec 5, 2010 #1 Davis kutoka Uganda ameshinda TPF 4 baada ya kumshinda Mtanzania Peter Msechu. Msechu anakuwa mshindi wa pili - Nampongeza na kumtakia heri. Davis anashinda shs milioni tano za Kenya!
Davis kutoka Uganda ameshinda TPF 4 baada ya kumshinda Mtanzania Peter Msechu. Msechu anakuwa mshindi wa pili - Nampongeza na kumtakia heri. Davis anashinda shs milioni tano za Kenya!
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 258 Dec 5, 2010 #2 wamechakachua
G giraffe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2010 Posts 630 Reaction score 258 Dec 5, 2010 #3 jamaa alikua ajulikani kabisa