Hivi unaongelea nini hapa maana Topic zako ziko mfululizo ww?
Pole tena mama kumbe tunachunguzwa we umetuma ngapi kwa nini unataka kumzidi fulani eeehhh
samahani tena ntakuwa natoa thanks tu mama natuma mara moja usiku ukiwa umelala mama
ni kutokuwa busy kazini tunapotezea muda tu jf mmaama pole sana.....
Mmmmmh kwa hili nimechoka
kuna watu waniibia serikali kweli lakini na awa ndugu zetu wanaotuhudumia lazima nao
waijali kidogo serikali....nimeomba kama mko karibu nao waambieni nao wawe wanatoa
hata risiti incase hata wakikufanyia so unawatafuta kupitia risiti zao
Ni kweli huduma nzuri mnato je kama kwenye basi wanatoa tiketi ya sh.250 sembuse sh.15,000-20,000
kwenu wana accountant tunaomba design ya vitu vitakavyokuwa kwenye risiti za watu hawa tuwasaidie
Tumechoka tunatoa hela kubwa hata risiti upati na hii itawasaidia hata kama wakitoa huduma nzuri mtu anaona tu contact kwenye risiti kwa ukumbusho anaamua kukumbushia....
Wenyewe wameshaelewa wala uspate tabuHivi unaongelea nini hapa maana Topic zako ziko mfululizo ww?
SIKU MOJA SAMSONIMFALILA ALINAMBIA NISOME KITABU CHA DANIEL KUNA HABARI YA SANAMU YENYE MCHANGANYIKO WA SHABA,CHUMA NA UDONGO....YALE MANENO HUWA HAYANITOKI KWA KWELI......nadhani hapa anaongelea wanaopokea sadaka na mafungu ya kumi.....yawe yanatolewa risiti for future reference.....ili ukipata baraka unasema because nilitoa sadaka kwa mama lwakatare..........ILA HUDMA YA UKAHABA NA ISHINDWE KWA JINA LA YESU ALIYE HAI.......TUOE NA WAKE ZETU WATATUPA KILICHO BORA ZAIDI YA HUDUMA ITOLEWAYO RISITI....HIYO 15,000-20,000 UKIACHA NYUMBANI NI BREAKFAST AMA LUNCH AMBAYO NYUMBANI WATOTO WATAMWAGA DUA ILI BABA UPATE TENA ZAIDI NA ZAIDI.....! AAAMMMEN....!
_ wala dawa sio kuoa kwn hata akioa aweza kwenda tafuta vinavyouzwa Tabia haina dawaAMEN,Ubarikiwe kwa kutochukulia familia yako kama mzaha :A S 8: