Tukubali yaishe?

Kwa wale walokuwa hawamjui Mwanakijiji (internet, forumwise) huyu ndiye Mwanakijiji...controversial, weird as hell, hard to figure out, stubborn, saa nyingine anajifanya padri wakati huo huo ni gwiji wa mambo ya ngono (actually anachuana na Brazamaneni) na mengine mengi. I mean he is everything you can imagine. Siku ataamka na kutuambia anaanzisha chama chake cha kisiasa...Wanakijiji Labor Party...
 
kada eh!! yaani umenikaribisha kwa mikono miwili halafu hata kurasa moja haijaisha umenitimua? Mbona unaanza kunitisha kwenye chama chetu.. bana miye sirudi huku kwenye "giza" nataka nikae na nyie wenye mwanga bana..!

mwanga ni mkali sana wewe kuhimili !
 
Sasa tumjadili JK na kauli zake kuwa haijui ilani anayopaswa kuitekeleza ili iweze kuleta maisha bora kwa kila mtanzania ,na pia tuangalie kama anadhubutu kuikana ilani yake hivi atashindwa kukana zile ahadi za papo kwa hapo?
 
saa nyingine inanifanya niamini hawa watu wa ughaibuni wanaposema africans live in the jungle !!
 
Nasikitika sana nilikuwa nakuamini sana katika kuwatetea wabongo wasiojiweza,vipi wamekununua au vipi?watu wengi sana walikuwa wanakuamini au kukukutegemea wewe kama sauti yao,hii inanikumbusha wakina MUGO ambaye aliwasaliti wenziwe ikiwapo KIHIKA kuanzia sasa nitakuwa nakuita MUGO na siyo mwanakijiji tenana sisi uliotusaliti tunasema UHURU NOT YET tutaendelea kuakikisha maovu yote yanaowekwa peupe,itatuchukua muda kwani wapo wengi sana wakina mugo
 
Ndio...kwani we unaishi wapi...inaonekana hujui kama unajua basi uko kwenye denial ?

duh ! unazidi tu kukonfam mzee, wee unaitwa nyani, yule mwanakijiji ! afu chekshia, natoka ntakujibu baadae au sio babu !
 
am getting sense kwamba mwanakijiji anajaribu kucover up ile mess ya zile picha alizoahidi ! anataka ionekane hii kama tendency yake ..............lakini wapi !

baadeni bana,leo veterans days naenda kula nyama choma.

afu cha kushangaza 25% ya homeless marekani ni veterans, hawa jamaa wahuni kweli kweli !
 
Mwanakijiji tafuta daktari please!


sam... madaktari kama hao wa Muhimbili si wanaweza kukata visivyo na ugonjwa hasa baada ya mwafrika kutaja viungo fulani ambavyo vitaatract unnecesary attention..

Nyani, umenipa wazo kuhusu kuanzisha chama.. ila kwenye Ilani for sure sitaweka suala la Kadhi... its a headache..
 
Nitapenda kujua rangi za chama chako ni kijani ama zitakuwa nyeusi na rangirangi?............................
 


Nimecheka acha kabisa, lakini description ndiyo yenyewe hasa!
 

Pamoja na kujaribu kuwa sarcastic katika post yako lakini subconsious yako bado inaamini kwamba shujaa wa kweli hakimbilii nje na kuanza kurusha mawe. Shujaa wa kweli anapigana ndani.

Mko kwenye family, dada anaanza umalaya...unakimbilia nje na kusema yule sio dada yangu au unajaribu kumsaidia dada yako ukiwa ndani ya family.

Tuko wa aina mbili hapa, wale tuliokimbilia nje na kuanza kurusha mawe ndani tukiamini kabisa kwa kufanya hivyo tunaleta mabadiliko na wale tulioamua kubaki ndani na kuendelea na mapambano!
 
...

Mko kwenye family, dada anaanza umalaya...unakimbilia nje na kusema yule sio dada yangu au unajaribu kumsaidia dada yako ukiwa ndani ya family.

...

haya mambo ya dada kuanza umalaya yametoka wapi sasa! Mbona usiseme kaka anaanza umalaya! watu wengine bure kabisa.
 
haya mambo ya dada kuanza umalaya yametoka wapi sasa! Mbona usiseme kaka anaanza umalaya! watu wengine bure kabisa.

Nafikiri ungeomba na bible ibadilishwe kuonyesha Mungu ni he or she. Sawa kwenye dada weka dada/ kaka.
 
Nafikiri ungeomba na bible ibadilishwe kuonyesha Mungu ni he or she. Sawa kwenye dada weka dada/ kaka.

I think you can do better than this!

Endelea tu na mambo yako mkuu ila fikiria tena ulichosema pale juu na baadaye ukisome kwa sauti ili usikie what it sounds!

Good luck na issue ya huyo dada malaya
 
I think you can do better than this!

Endelea tu na mambo yako mkuu ila fikiria tena ulichosema pale juu na baadaye ukisome kwa sauti ili usikie what it sounds!

Good luck na issue ya huyo dada malaya

You are talking about yourself. Hakuna HOJA kutoka kwako zaidi ya kwanini iwe dada. Imesahihishwa sasa unachoongea so far ...

Anyway, Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…