Kwa wale Ilborins Mnakumbuka hii Misamiati jamani?
KITEI = Kipunga Iva Tule Elimu Inatungoja (Wali)
CHUI = CHUkua chako Iboru (Ugali aka Bondo)
SUMU = Haya yalikuwa Makande
Half Life = Jina Maarufu la kiporo hasa cha SUMU au KIETI ( tulikuwa tunachanganya na Uji)
Umenyeni = Kijiji around Ilboru
Baghdad = Hii siikumbuki mwenye kukumbuka anikumbushie
Golgota = Huu ni Ukumbi juu ya Maktaba ambapo ndipo NECTA inafanyika
Mtego = Chandarua
KUKU = Kalale Upitwe Kama Umesimama ( Usingizi)
Twiga = Sikumbuki
Kufufuka = Kuamka Ucku wa Manane
Bafu Kubwa = Eneo Chini ya Daraja ambako Vijana hupenda kwenda KChief = Mwalimu katili kabisa na mpenda sifa Losujaki uoga
,sijui sasa hivi yuko wapiKite = Alikuwa headmaster , Kitemango
Enabo = Enaboishi, hii ni shule Fulani ambayo walikuwa hawaivi na Ngarenaro,totoz zilikuwa
zinagombania Ilborians
Nyie ndio mlikuwa na akili nyingi? nasikia mlikuwa/mapewa mitihani ndio maana vibanda vingi.....a'u dizaini watu waliosoma boys walikuwa wachafu kwa kukopa(kutokuoga)Ok thanks guys. We now know that you go through special school and you are Vipangas
Congratulations.
Anything Else from your Special school??
Ok thanks guys. We now know that you go through special school and you are Vipangas
Congratulations.
Anything Else from your Special school??
Nyie ndio mlikuwa na akili nyingi? nasikia mlikuwa/mapewa mitihani ndio maana vibanda vingi.....a'u dizaini watu waliosoma boys walikuwa wachafu kwa kukopa(kutokuoga)
Pugu Boysss mpooo? Mkandawile alikuwa anaponda sana,Pugu boys walikuwa hawamlipi hela ya tuition.
ha ha ha FL unaua sasa!!! ile sio fungus ni "kupiga gitaa" ukitaka kumjua Pugu boy basi utamkuta mkono uko ndani ya sarawili(anapiga gitaa).Pugu boys wazee wa fungus!maana mkandawile alikuwa anawaita fungusboy!
Hivi mkandawile yupo wapi?
Nyie ndio mlikuwa na akili nyingi? nasikia mlikuwa/mapewa mitihani ndio maana vibanda vingi.....a'u dizaini watu waliosoma boys walikuwa wachafu kwa kukopa(kutokuoga)
Pugu Boysss mpooo? Mkandawile alikuwa anaponda sana,Pugu boys walikuwa hawamlipi hela ya tuition.
MTEGO= kideo cha Shule
KATARA= mtu ambaye alikuwa na kichwa kikali, anafananishwa na lile gari la shule la bluu
KWA MAMA BENII= kibanda ambacho baadhi ya member wanakula fegi
PICHI= uwanja wa mpira, kule kilimani karibu na Nyumba ya headmaster.
ILBORIASIS MSULIATA= scientific name ya mwana ilboru
Umbwe walevi wa mbege tu....hawana mpango wowote!😀, enzi zetu tuliwaputa Machame Girls, Zoo na Ashira Girls! LOL, wakabaki kulialia tu...
Samahani msinishambuliee natoka nje kidogo. Hivi mliwezaje kusoma bila mademu? Yaani wanaume watupu?
Unakumbuka mikate ya "sunkista" pale kwa Loning'o? hv mama tonii bado anapika pilau kule chini? nasikia Shembilu alivuta je ni kweli? Kishuu na Geree bado wapo?