Nimenunua gari toka Japan worth 5000usd TRA wanasema iyo sio bei yake while ata Document zangu zaonyesha ivyo.At last they came up with their own price na kunitwanga kodi ya kama 4mil ivi.Na sio mimi tuu kuna friends zangu kama watatu wamefanyiwa the same thing mmoja akahonga bei wakashusha.Ata gari ya kampuni ilinunuliwa used toka Durbai jamaa wamegoma kuaccept a documented price.
Mimi naona hii inacreate loophole ya rushwa,sijui nchi zingine Uganda whatever price you reproduce as long as uko na supporting document ndio watakayoitumia kukutoza kodi.
TRA kuna haja ya kufanya mabadiliko bse to me thats quite unprofessional
Let the year 2010 be a year of changes and creativity.
Documents bwana zinafojiwa vizuri saana. Tena sio huko walikouza bali hapo Bongo na hao maajent. Unamsikia anakuuliza vipi tushushe mzee? Aghhhhhhhhhh!Kwanza hongera kwa kununua gari!
Lakini pia niweke wazi masikitiko yangu juu ya tabia hiyo ya TRA kukataa legal documents za kununulia gari!...
Hv mtu anaweza kufoji docs hizo?..Na wao hawana njia yoyote ya kuwasiliana na wauzaji ili kucrosscheck, au ni njia tu ya kuwakandamiza watu?
Iweje wakihongwa wanakubali illegal docs?
Hii isipite hivihivi mkuu, jaribu kutafuta haki ilipo, wabipu hata pisisibii!...ebo!
Documents bwana zinafojiwa vizuri saana. Tena sio huko walikouza bali hapo Bongo na hao maajent. Unamsikia anakuuliza vipi tushushe mzee? Aghhhhhhhhhh!
Nadhani tabia zetu mbaya ndiyo zimetufikisha hapo. Labda sisi wenyewe tujadili tufanye nini kukomesha hili kabla ya kulaumu TRA