mzalendo91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 430
- 138
Nssf interwiew ilashafanyika
Nssf interwiew ilashafanyika
Tupo kazini tunapiga kazi mnaishi tanganyika nin!mbona hamna taarifa!
kwa uzoefu wangu Mtu akipata kazi zileee za operations officers NSSF,Aje atoe uShuhuda hapa,mashirika mengine ni wawazi sana bt hawa NSSF?HATA RIDHIWANI ALISEMA BUNGENI KAZI ZA MASHIRIKA KAMA NSSF TAYARI ZINA WATU,ANGALIA JF KTK Kumbukumbu,so hadi RIDHIWAN ANAOGOPA hawa jamaa hasa NSSF.HAKUNA UWAZI..Ni muda sasa toka hao waajiri hapo juu watangaze nafasi za kazi na wenye sifa wakatuma maombi yao..
Je, kuna mdau yeyote mwenye tetesi kuhusu lini hayo mashirika yatatoa shortlist ya watakaotakiwa kufanya mitihani yao ya usaili
Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
kwa uzoefu wangu Mtu akipata kazi zileee za operations officers NSSF,Aje atoe uShuhuda hapa,mashirika mengine ni wawazi sana bt hawa NSSF?HATA RIDHIWANI ALISEMA BUNGENI KAZI ZA MASHIRIKA KAMA NSSF TAYARI ZINA WATU,ANGALIA JF KTK Kumbukumbu,so hadi RIDHIWAN ANAOGOPA hawa jamaa hasa NSSF.HAKUNA UWAZI..
Ndugu waweza kuwa unafahamu idadi ya watu wanaotakiwa kwa nafasi ya operation officer pale NSSF?