Huwezi haya mambo yako juu ya uwezo wako wa kufikiri okWaambie Waarabu waondoe FAIDA kwenye MAHOTELI yao.
NCHI YA KUSADIKIKA au UKOMINISTI?
Huwezi haya mambo yako juu ya uwezo wako wa kufikiri ok
Wewe endelee kumtetea slaa na mbowe hao ndio saizi yako ok
Mambo ya uchumi tuachie wenye akili wewe kizazi cha nguruwe
Riba ni chanzo cha maovu yote katika uchumi wa nchi na hata uchumi wa watu mmoja mmoja.
Nchi nyingi maskini zinadaiwa riba iliyojizalisha miaka mingi na kuwa kubwa kupita deni halisi hivyo kuongeza mzigo kwa nchi na wananchi wake...Tanzania for example tuna-service 40% la deni letu ni Riba...hivyo hivyo kwa nchi nyingi za dunia ya tatu...
Watu binafsi wanaogopa kukopa benki kwasababu riba ni kubwa mno hivyo business idea nyingi zinapotea bila kufanyiwa kazi ..hii inaharibu economic growth na kupunguza ajira ambayo ingeweza kuwepo ikiwa watu hao wangechukua mkopo???
Kwanini tusifute riba kwenye mabenki?
Kwanini kuweka hela benki tu upate riba? (mafanikio)
hii ina-encourage watu kuweka fedha benki viwango vikubwa bila kufanya investment? ambayo ni hasara kwa nchi na watu wake??
Ni wakati muafaka kufikiri kuondoa riba kwenye mambo ya uchumi! JF mnasemaje?

Huyu jamaa niachie maana post yake amenijibu kijinga..ujinga hujibiwa kwa ujinga wake...werevu hujibiwa kama mweruvu that is it.
Huwezi haya mambo yako juu ya uwezo wako wa kufikiri ok
Wewe endelee kumtetea slaa na mbowe hao ndio saizi yako ok
Mambo ya uchumi tuachie wenye akili wewe kizazi cha nguruwe
Kwanza wewe kizazi cha nguruwe akili yako sawa na nguruwe mwenyeweHapa chini umejijibu wenyewe. Swali la kijinga hujibiwa kijinga.
Sasa kama wewe ni MCHUMI, umeshindwa nini kufahamu kuwa ULICHOANDIKA ni UTOPIA? Ninavyofahamu mie ni kuwa Waarabu walikuwa wanaweka pesa zao USA na hawachukui RIBA. Mabenki yao wanafanya hivyohivyo ingawa sidhani kama watu wanaweka pesa huko zaidi ya usalama maana hazileti faida.
Mtu kuweka pesa zake Bank milele anapata hasara. Hiyo wanafanya KUNGURU tu. Mtu na akili zake anafahamu kuwa akiziingiza kwenye biashara atapata faida zaidi ila pia ipo RISK. Ndiyo maana wanaweka Bank.
Mbona waogopa PUA la nguruwe namna hivyo? Lilikuchimbia Muhogo wako au ni aje? Huo mstari wa mwisho ulitakiwa ujiambie mwenyewe. Mtu hufahamu uchumi. Umeleta swali hapa la KUSADIKIKA au Kikomunisti halafu ukiambiwa hata hukuelewa nina maana gani ukafikiri nimekujibu UTUMBO kumbe masikini ya Mungu ni jibu lililoenda shule. Soma maelezo ya member wa juu uone umuhimu wa RIBA. Kibudu WEE............
Miaka 30 iliyopita ilikuwa wishingful thinking kufikiri kuchukua mkopo bila riba kwenye mabenki lakini sasa mabenki mengi wameanza kutoa mikopo bila riba na kuwavutia wafanya biashara wengi kufanya investment zao ..e.g. british islamic bankRiba ndo zinaiendesha benki, bila riba kungekuwa hakuna incentive ya watu kwenda kuweka hela so benki zingeshindwa kukopesha kabisa.
Zaidi ya hapo kungekuwa hakuna riba inflation ingekuwa balaa, woga wa kukopa ni muhimu kwenye financial system, inasaidia kuchuja business ideas, otherwise kila mtu angekimbilia kuchukua mkopo. Kwa kifupi haiwezekani.