Alfa na Omega
Member
- Jan 23, 2007
- 8
- 0
hawa wanamtandao taratibu wanaanza kuonyesha rangi zao,na ukizingatia membe [presidential hopeful] kapata uwaziri wa likizo pale foregn na muungwana EL Yupo magogoni ,kazi imeanza...sidhani hata huyu EL kama atafikia rekodi ya ziro ya vipindi viwili uwaziri mkuu,tayari anaandaliwa jungu achonganishwe na muungwana...ccm kweli haitafika 2010...
kwa upande mwingine naona kama kuna mamluki wanaotaka kupindua hii forum, lts us wait and see, kuna mchezo siuelewi hapa, Admin unasemaje