Ungewea kujibu kwa kiswahili tu, ingependeza. Kwa kiasi fulani unaelewekaThe content of your post concerning 9 types of intelligence give us room as Tanzanian to understand how the learning is suppose to be.
Most of parent in Tanzania when they send their children to school they focus on paper and pencil (reading and writing) while forggeting that learning can take place in various ways, as the 9 types of intelligences state.
We should insist our family and community in general to give room to other intelligence to emerge in our education system.
Well, nahisi hizi vitu ziko vivid kama your mind iko settled yaani free from mawazo na tabu, wengi wetu tuko driven na frustrations za maisha huwezi gundua kirahisi kama una potential kati ya hizo.
Thanks
Dah! Kuna mwanangu miaka 5 akiwa ndani ya nyumba anaweza kukwambia nje barababi kuna nini au nani anakuja home.
Sometimes ukienda nae sehemu anakwambia 'Dad it is not safe to be here lets go!' ukiondoka hapo baada ya nusu saa kinatokea kitu ambacho huwezi amini
Juzi amemwangalia mama yake usoni akamwambia ''mama kuna kitu kinakusumbua moyoni macho yako yanaonyesha!!"
IQ yake iko juu sana, ana miaka 5 lakini anaweza kuongea lugha 4 (swahili, kingereza, dutch-lugha ya mama yake na kisukuma - lugha ya baba yake)

Kwa hizo aina 9 za intelligence ni wazi kwamba Engineers and Mathematicians wanafit kwenye type 2: logical-mathematical intelligence na watu wa arts wanafit kwenye type 1: Linguistic intelligence
Je watu wa Accounts na Finance tutawaweka kwenye type ipi?