William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Nurujamii,mbavu zangu zikivunjika kwa kicheko jiandae kwa kesi ya madai. teh teh tehmalezi ya Hasheem ni kutokana na sera nzuri za ccm! teh teh teh
malezi ya Hasheem ni kutokana na sera nzuri za ccm! teh teh teh
Kwi kwi kwi!!!!!
Lakini huko nyuma kabla ya vyama vingi, Taifa Stars wakishinda tulikuwa tunashangilia hivi:
CCM, CCM, CCM na kuendelea.
Mara yangu ya mwisho kushangilia michezo TZ, nafikiri ilikuwa ubingwa wa ngumi East Africa, tulikuwa tunahitaji point moja kushinda hayo mashindano. Ilikuwa ndio pambano la mwisho la
uzito wa juu, Mtanzania alikuwa anachukua kipigo. Ghafla mungu saidia, Mtanzania akarusha konde la nguvu na nafikiri alikuwa Mzambia yule, hakuamka tena. Nilishangilia siku hiyo, sijawahi kushangilia tena maishani.
Yaani ilipigwa CCM hiyo mpaka naingia nyumbani bado mimi nimo tu CCM, CCM, CCM!!!!
Naona kungelikuwa na picha ya tukio hilo, sasa ningejionea huruma kweli kweli kwa kuimba CCM ya mafisadi kiasi hicho.
Lakini wakati ule hatukuwa na kingine zaidi ya CCM.
Hongera Thabeet, tunakutakia mafanikio mema, mtaji wa mchezaji ni juhudi na mazoezi.
Mkuu Mtanzania
Kama unamzungumzia Koba Kimanga ilikuwa ni kwenye mashindano ya afrika mashariki pale diamond jubilee nami nilikuwa mmoja wa washangilaji siku ile, yaani ilikuwa starehe kweli.....
malezi ya Hasheem ni kutokana na sera nzuri za ccm! teh teh teh
Mkulu Nurujamii,
Umesema wewe, mimi simo kabisaaa kwenye hili, ingawa it sounds good, yaani kama ulivyosema kuwa Hasheem ni matunda ya sera za CCM!
Wakuu kama kawaida heshima kwa Tanzania, kijana wetu Thabeet Hashim, sasa hivi anaichezea UN-CONN(Universty Of Connecticut) inapambana na Memphis, angalia kwenye ESPN2 kwa wale wanaoweza,(Hashim ni Future NBA Candidate)
so far yeye ndiye anye-make a big different katika shule yake comeback, baada ya kuongozwa kwa 20-5, na sasa ni 60-60, wakuu tuangalie fahari ya nchi yetu, Tanzania kudos kwa wa-Tanzania walioko hapo uwanjani Madison Square Garden, na hasa member mmoja wa hii forum ambaye amekuwa akionyeshwa sana kwa kuirusha sana bendera yetu hapo uwanjani,
Mungu Aibariki Tanzania.
Admin, mpira utaisha baada ya kama dakika 35 zinazofuata, unaweza kuifuta au kuihamisha.
Alishamwagwa kutoka ligi ya NBA.
Sasa hivi anachezea ligi hafifu ya daraja la pili ya NBA.
Angekuwa ana nidhamu ya mchezo na kujituma angefika mbali maana hakuna mchezaji mwenye urefu kama yeye kwa sasa katika NBA.