Mweye details atupe...........But naona hakijapata usajili kamilifu ingawa kinaendelea na juhudi za kutoa elimu. Hakika ukiangalia by all standards ni kwamba kina mapungufu mengi............Nimefarijika kuona Prof. Mbonile wa UD kaenda kufundisha pale, sijui kwa nini, lakini naamini vyuo kama hivi vitafaidika na utalaamu wa wasomi kama hawa.
Tuwasaidie, tusiwabeze.
Masanja,
Asante kwa utambulisho wa chuo, mimi binafsi nilikuwa sijawahi kukisikia hiki chuo. Nimesoma vizuri maelezo yako ila kuna mahali umeniacha angalia hiyo quote hapo juu. Weka bayana ujuvi wako juu ya huu usajili nusu nusu, na mbona unashangaa Prof. kujuunga na hii university?
By the way who's Theofilo Kisanji???? Any idea please???? Ni vyema ukawa na uhakika kama kina usajili au la!! but to my views ni ndoto nzuri kwa wahusika kuwa na wazo kama hilo muhimu wanatakiwa kuonyeshwa njia ili waende ktk njia sahihi kuepuka kuwa mahali pa kuwapotosha vijana...Universities commission (Tz) do have any idea on the existence of this University????
Moravian Church wangepashwa kuanzisha Kisanji High School kabla hawajaanzisha Kisanji University. Wasiokuwa na uwezo wa kuendesha high school watawezaje kuendesha vyuo vikuu? These glorified primary schools are not, and will never be universities, no mater what you call them.
Mkuu Augustine Moshi kuhusu sekondary na high schools hawa jmaa wanazo nyingi tu (Lutengano, Kafule, Mbozi etc......) na one of them is one of the oldest school in Tz est 1891 (Rungwe) ambayo ilitaifishwa na serikali Pia wana vyuo vya veta, ualimu,nursing etc.. Na hii hoja yako ya glorified primary school una maanisha majengo, taaluma au? Unaweza kufafanua plz?
Mie nadhani makanisa yanayoanzisha vyuo vikuu kabla ya kuanzisha angalau vijisekondari vitano yanakosea. Inabidi kujenga tokea kwenye msingi, na sio kuanzia kwenye paa.
Moravian Church wangepashwa kuanzisha Kisanji High School kabla hawajaanzisha Kisanji University. Wasiokuwa na uwezo wa kuendesha high school watawezaje kuendesha vyuo vikuu? These glorified primary schools are not, and will never be universities, no mater what you call them.
Augustine Moshi,Mie nadhani makanisa yanayoanzisha vyuo vikuu kabla ya kuanzisha angalau vijisekondari vitano yanakosea. Inabidi kujenga tokea kwenye msingi, na sio kuanzia kwenye paa.