mi nakutaka wewe pekeako dada ake sitaki hao wengine๐คฃKiukweli jicho lipo.....
Mafunzo kama kweli unahitaji siku hizi makungwi wengi mnooo mpka TikTok wapo.
Ingia chimbo mtoto wa mama mkwe anene kwa lugha
Sema dada ake vita ume vipigana meza uliyo kuwa una tingisha ilikuwa ya vinywaji vikali ๐ mmama wa kijani kijani ukamtoa knockout na akatulia duhaaaaah! nisamehe tu
Leo mpaka bubu umeongea leo dada ๐๐๐TBT 3 kuna punchlines za hatari dada ake ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐คฃ
Cine club pame fungwa hivi nimemiss mishkaki ya samaki pale โบ๏ธ
Mimi na leo dada naona damu zina endana ๐
Like serious??...tunajuana bana!Hunijui bwana,,, kitambo sana mi nilihama huo mji.
Lakini Kuna dada wa mujini nafanana nae sana
Nakupenda wewe na hii TBT yako๐ ๐Na bado hii mpaka babu aongee
Mzurim
maana yake nn kihaya sikijui
Uwiiiii! ๐ ๐Huyo pimbi aliyekutisha kuhusu picha makebo yake!!
๐๐Punchlines zako imebidi niweke simu chini niji pepeeee ๐๐