..good idea lakini inabidi ufanye homework yako vizuri kabla ya kuja na idea kama hii....anyway Ethanol hatuwezi maana inatumia mahindi/carb na ukweli hata mahindi tuliyonayo hayatoshi kwa ugali wetu sasa unataka tufe njaa na kumbuka still bado tuna import unga,sasa hapo itakuwaje na unavyoongelea Ethanol ujue sio gunia mbili au moja ni mahindi karibu yote na tunayoagiza ndio may be tutaweza na hapo hatujala...utaua watu!
Mkuu watu huja na nadharia nzuri sana kuliko tafiti na uhalisia...good idea lakini inabidi ufanye homework yako vizuri kabla ya kuja na idea kama hii....anyway Ethanol hatuwezi maana inatumia mahindi/carb na ukweli hata mahindi tuliyonayo hayatoshi kwa ugali wetu sasa unataka tufe njaa na kumbuka still bado tuna import unga,sasa hapo itakuwaje na unavyoongelea Ethanol ujue sio gunia mbili au moja ni mahindi karibu yote na tunayoagiza ndio may be tutaweza na hapo hatujala...utaua watu!