Ndugu mteja,Shukran
Number ya metre bado haijabadilishwa, naomba ulifatilie zaidi hili
metre number: 24211954755
TANESCO
Lakini pia ikumbukwe nadai units 100
OkayHabari, ndugu mteja.
Tunashukuru sana kwa ujumbe wako wa pongezi.
Kuhusu suala la mita, tafadhali fahamu kuwa ikiwa kila floor kwenye ghorofa ina mita yenye jina tofauti tofauti, kodi ya jengo itatozwa kwa kila mita. Ni kwasababu kwa utaratibu wa nyumba za ghorofa, makato ya huduma hufanyika kwa kila floor
Hata hivyo, ikiwa mita zote zina jina moja na zinakatwa kodi ya jengo, unashauriwa kutembelea ofisi za Halmashauri husika na kujaza fomu ya maombi ili makato ya kodi ya jengo yafanyike kupitia mita moja.
Asante. ^NI
Ndugu mteja,Tanesco wapo vizuri sana wanajitambua wanajali wateja na kwenye changamoto wanatatua kwa wakati hongera nyingi kwao ila wakae na hao wanaopanga bei tushushiwe umeme ifike walau 150 au 100 kwa unit
Ndugu mteja,Kwa sasa tanesco wako level nyingine kwa huduma, hata mafundi wako smart hakuna wale wazee wa chochote...hizi initiatives zilianza kipindi cha makamba na maharage, sio hawa wajuzi
Nafikiri mashirika yote ya umma yaende retreat tanesco badala ya kwenda ulaya kupiga picha...
Ndugu mteja,Hakika, TANESCO 10/10 kwenye customer care. Ukishaongea nao, wanafuatilia kujua kama umefanikiwa kutatua changamoto yako.
Wapewe maua yao.
Tunakutakia wakati mwema ukisubiri huduma.^NIOkay
Asante sana
Jina ni Moja.
Nitaenda offisi ya aridhi Manispaa.
Ndugu Mteja,Watu wanaweza ona kama utani ila moja ya shirika ambalo wapo serious kwenye call centre ni TANESCO. Nimeshapiga karibia mara tatu na sikupata tabu
Very professional
Wakiweka na supply ya kueleweka itakuwa safi zaidi maana hapo ndipo kuna mtihani mzito
Ndugu Mteja,Japokuwa sio rushwa lakini wahudumu wa tanesco wakija kunihudumia na jua kali hili huwa nawapa tips za elfu 10 10 hata wawe sita maana ofisi yangu kwa asilimia mia inahitaji umeme ndio niingize kipato
Kwa hapa Marekani, Tanesco walivyo sharp nawafananisha na wale watoa huduma baada ya kupiga line 911.Kwa kweli TANESCO wanajitahidi sana, jamaa wapo active kupita kiasi. Juzi nilipiga 180 kutoa changamoto yangu fulani, aisee haikupita nusu saa jamaa hawa hapa. Nilijikuta natoa machozi ya furaha na kujiona nimethaminiwa sana. Taasisi zote za umma zikifanya kazi kama hawa jamaa, nadhani itapunguza sana manung'uniko ya wananchi.
Ni kipi kimeshughulikiwa, vitu viliungua kutokana na umeme kuwa mkubwa, nimetoa taarifa nimeambiwa wameshughulikia wakati mimi sikumuona Fundi wa Tanesco aliyekuja kwangu kutengeneza vitu vilivyoungua! Huu ni utani.Ndugu Mteja,
Taarifa namba TEM112026TB-7378 inaonesha kuwa tayari imeshughulikiwa. Tunapenda kufahamu iwapo bado mnakabiliwa na changamoto ya kupata umeme mkubwa katika eneo hilo, ili tuweze kutoa msaada zaidi.
Asante.^NI
Ndugu mteja,Ni kipi kimeshughulikiwa, vitu viliungua kutokana na umeme kuwa mkubwa, nimetoa taarifa nimeambiwa wameshughulikia wakati mimi sikumuona Fundi wa Tanesco aliyekuja kwangu kutengeneza vitu vilivyoungua! Huu ni utani.
Ndugu mteja.Ni kweli, kama mashirika mengine ya umma yangekuwa na customer service nzuri kama tanesco, malalamiko yangepungua sana.