HOMera na Makamba wanafanya kazi nzuri sanaLeo nimetumia fulsa hii kutoa Pongezi kwa Tanesco
1) Wana Call center,Wanasikiliza vizuri wateja na kuwapa namba za taarifa na kuzifuatilia.
2) Nililete Malalamiko ya kuwekewa nguzo,Muongozo ni siku sitini,lakini nimeletewa ndani ya mwezi mmoja
3) Issue ya kuhamisha nguzo,Wameshughulikia kwa taarifa niliyotoa.
4) Wana group za wateja wanatoa Taarifa za kukatika umeme na kupokea changamoto za wateja na kuzitatua
5) Wako very active na kitengo chao cha Mawasiliano kutoa ufafanuzi za changamoto za wateja,mpaka hapa Jf,ni member
NB Baniani Mbaya lakini Upatu wake Apewe!
Habari, ndugu mteja.Leo nimetumia fulsa hii kutoa Pongezi kwa Tanesco
1) Wana Call center,Wanasikiliza vizuri wateja na kuwapa namba za taarifa na kuzifuatilia.
2) Nililete Malalamiko ya kuwekewa nguzo,Muongozo ni siku sitini,lakini nimeletewa ndani ya mwezi mmoja
3) Issue ya kuhamisha nguzo,Wameshughulikia kwa taarifa niliyotoa.
4) Wana group za wateja wanatoa Taarifa za kukatika umeme na kupokea changamoto za wateja na kuzitatua
5) Wako very active na kitengo chao cha Mawasiliano kutoa ufafanuzi za changamoto za wateja,mpaka hapa Jf,ni member
NB Baniani Mbaya lakini Upatu wake Apewe!
Juzi Jumatatu wakazi wa Mbagala Rangitatu Dar es Salaam umeme uliunguza vifaa vya majumbani, Tanesco wanapigiwa simu wakate umeme wanauchuna tu.Leo nimetumia fulsa hii kutoa Pongezi kwa Tanesco
1) Wana Call center,Wanasikiliza vizuri wateja na kuwapa namba za taarifa na kuzifuatilia.
2) Nililete Malalamiko ya kuwekewa nguzo,Muongozo ni siku sitini,lakini nimeletewa ndani ya mwezi mmoja
3) Issue ya kuhamisha nguzo,Wameshughulikia kwa taarifa niliyotoa.
4) Wana group za wateja wanatoa Taarifa za kukatika umeme na kupokea changamoto za wateja na kuzitatua
5) Wako very active na kitengo chao cha Mawasiliano kutoa ufafanuzi za changamoto za wateja,mpaka hapa Jf,ni member
NB Baniani Mbaya lakini Upatu wake Apewe!
Tulionunua umeme leo na tokeni hazitumwi,tutatumiwa lini Boss?Habari, ndugu mteja.
Tunashukuru sana kwa ujumbe na maoni yako mazuri. Tupo kwaajili yenu katika kuangaza maisha.
Asante. ^NI
Ndugu mteja,Tulionunua umeme leo na tokeni hazitumwi,tutatumiwa lini Boss?
Ndugu mteja,Kwa sasa Tanesco ndio shirika bora kwa upande wa utoaji huduma
Habari, ndugu mteja.Wanajitahidi kitengo cha customer care
Ndugu mteja,hawa jamaa niliwapigia emergency saa 8 usiku nawakaja wamenyoka bhn
juzi Jumatatu Tanesco Mbagala umeme ulikuwa mkubwa kupindukia, uliunguza vifaa vya majumbani. Jana Jumanne kununua umeme hautumiwi token unaambiwa wanaifanyiakazi na hela hairudishwi.Leo nimetumia fulsa hii kutoa Pongezi kwa Tanesco