tancut bwana wana nyimbo yao inasema...
Nakwenda safari
Safari yenyewe Safari ngumu sana
Najuwaaaa kama utabaki yatasemwa mengi ndio wabaya wetu mamaaa watafurahi...
Nimekutana na huu wimbo umenikumbusha mbali sana, wote wenye mapenzi na mama zao sikilizeni huu wimbo. sauti nzuri za Kyanga Songa na Kasaloo Kyanga wa Tancut Almasi wimbo Mama, pata burudani.....kwa hisani ya wanamuziki wa Tanzania, hongera Mzee Kitine.
Mkuu,
Huu wimbo nilishaomba siku kibao kama kuna mwenyewe. Asante sana tena sana sana sana.
Asanteni wenye Blog kwa kuuweka na mbarikiwe.
Nikifanikiwa kununua CD au Cassete yao, bomba sana sana.
Sikonge, nimekutumia kwenye mail yako mp3 ya huo wimbo umeupata?
Thanks umenikumbusha mbali sana kwa mara ya kwanza na ya mwisho hawa mapacha wa tancut niliwaona dodoma mwaka 1989 sijui wapo wapi sasa
.. nakwenda kutafuta maisha ya watoto wetuuuu, chunga watoto mama nitarudi, nitarejea kwa mapenzi ya Mungu....tancut bwana wana nyimbo yao inasema...
Nakwenda safari
Safari yenyewe Safari ngumu sana
Najuwaaaa kama utabaki yatasemwa mengi ndio wabaya wetu mamaaa watafurahi...
kasaloo kyanga na kyanga songa, mmoja alifariki na mwingine bado ni mwanamuziki, miaka ya karibuni alikuwa kalunde band.