duuuuh pole mkuu,waharibifu ni wengi sana duniani,mungu akubariki 2011 USIZUBAE na kumegewa.😱
JEMA: Nilijiandaa kutimiza ahadi yangu kwa mpenzi kwa kuwa tayari kufunga nae ndoa
BAYA: Nilizubaa wajanja wakaniwahi wakammega akapata mimba:bump:
Pole sana mkuu, sijui kwa nini hawa akina mama wanatufanyia hivi sisi wanaume wakati SISI NI WEMA SANA KWAO SIKU ZOTE.baya; demu wangu alimegwa na mb dog
Pole sana mkuu, sijui kwa nini hawa akina mama wanatufanyia hivi sisi wanaume wakati SISI NI WEMA SANA KWAO SIKU ZOTE.
baya; demu wangu alimegwa na mb dog
Pole sana mkuu, sijui kwa nini hawa akina mama wanatufanyia hivi sisi wanaume wakati SISI NI WEMA SANA KWAO SIKU ZOTE.
Pole!Na wewe acha uDJ uimbe ili usiibiwe tena na wanabongo flava!wangu alizinguliwa na mwanamuziki
Ohoooooo unaona???? kumpeleka muziki inakuwa taabu. ukimwacha homu kama pazia nayo tabu???? POLE MKUU.Nini cha kumfanyia mwanamke kikawa chema??????wangu alizinguliwa na mwanamuziki
Ohoooooo unaona???? kumpeleka muziki inkuwa taabu. ikimwacha homu kama pazia nayo tabu???? POLE MKUU.
hongera kwa msaada wako KWAKE endelea hivyohivyo 2011.............hata hivyo POLE KWA KUMFAHAMU.Jema:Nilimsaidia Exie wangu! Baya:Nilimsaidia Exie wangu! Najuuuta kumfahamu!
ana reveal nini? kwani anamwogopa nani?mkuu? sisi wote hatujamjua labda wewe tu mkuu?hapo si unareveal identity yako hapa jamvini au huogopi?
usifanye kosa tena mkuu la kumpeleka shem kwenye muziki. .......auone muziki kwenye tv tu au mnunulie cd,wangu alizinguliwa na mwanamuziki
usifanye kosa tena mkuu la kumpeleka shem kwenye muziki. .......auone muziki kwenye tv tu au mnunulie cd,
kwani sisi ni wabaya????? ukitaka kujua sisi ni wema muulize tu jamaa yako KAMA NI MWEMA AU MBAYA JIBU UTALIPATA.Umenifanya nicheke jinsi unavyodanganya waziwazi!Eti nyie ni wema siku zote!!
ok,sawa mkuu,hata kama ni hivyo ni lazima uende nae muziki??????? Au unataka upolwe tena na mwanamuziki mwimgine????? Elewa kuna musician wataalamu wa kupora vya watu haipiti sekunda,demu wako keshapagawa, sekunde moja kosa. Wewe kazi yako itakuwa kulima wenzio wanavuna? Unalikubali hilo?????????????? Acha abaki homeee. Ataliaaaa weeee atanyamaza, atanunaaaa, mwisho atacheka. Mwisho wa yote atazoea.tatizo kaka muziki kazi yangu