Waswahili walisema "aisifiaye mvua imemnyea", vipi wewe yamekukuta haya au umefanza kusikia tu?
Kwangu mimi swali muhimu zaidi ya ama mtu anaweza au hawezi kubadilika, ni lile linalouliza kwa nini utake kumbadilisha mtu? Isn't this selfish and condescending?
...Kwa mfano, mimi sipendi sigareti, na nikijua bibie anavuta sigareti basi ndiyo kwisha habari, hata kumsogelea naona kinyaa. Sasa kwa nini ujue mtu anavuta sigareti, umuingie kwa minajili ya kumuachisha raha yake ya sigareti ili tu awe na wewe? Huu si ukoloni mambopendo huu?
True tabia hazibadiliki
...ukitegemea mchumba wako atabadilika tabia ukishamuoa, jua unajitafutia kujiudhi roho tu. Tabia hazibadilishiki. Kama mwanamke/mwanaume alikuwa mzinzi ataendelea hivyo hivyo hata mkioana.
Kama mwanamke.mwanaume alikuwa mdokozi, mchoyo, mchafu, mwongo...nk atayaficha makucha yake kwa kipindi fulani kutimiza malengo yake, kisha maisha yataendelea kama kawaida.
Wazee wetu ndoa zao zilidumu kwakuwa kwenye kutafuta mchumba, walihusishwa wanafamilia na marafiki wa karibu kwenye kutoa ushauri na maamuzi yupi anafaa, au hafai.
Ndoa za kisasa, waamuzi wa mwanzo na wa mwisho ni wanandoa wenyewe. No wonder ndoa hazidumu.
Unakubali au unakataa somo hili?
Jadili.
My point is not so much kwamba tabia hazibadiliki -it is a gamble really, inategemea mambo mengi, lakini kuna mara zinaweza kubadilika-
My point ni kwamba, kwa nini utake kumbadilisha mtu?
Hili si gari, kusema kwamba nitalinunua jeupe lakini kwa sababu sipendi rangi nyeupe nitalipaka rangi ya buluu.Au nyumba kwamba nitainunua ya milango minne lakini nitatengeneza mwingine wa tano.
Kwa nini utake kumbadilisha mtu? huu si ubinafsi uliokubuhu? Mtu anapenda kunywa wewe unataka aache kunywa, Kwa nini uchukue gamble hii? Kwa nini usitafute ambaye hanywi tangu mwanzo?
mimi nadhani familia zihusishwe tu kwenye kutafuta mchumbanakubali ndoa hazidumu kwa hilo.
JE NINI KIFANYIKE KUREKEBISHA KASORO HII?
.ukitegemea mchumba wako atabadilika tabia ukishamuoa, jua unajitafutia kujiudhi roho tu. Tabia hazibadilishiki. Kama mwanamke/mwanaume alikuwa mzinzi ataendelea hivyo hivyo hata mkioana.
Kama mwanamke.mwanaume alikuwa mdokozi, mchoyo, mchafu, mwongo...nk atayaficha makucha yake kwa kipindi fulani kutimiza malengo yake, kisha maisha yataendelea kama kawaida.
Wazee wetu ndoa zao zilidumu kwakuwa kwenye kutafuta mchumba, walihusishwa wanafamilia na marafiki wa karibu kwenye kutoa ushauri na maamuzi yupi anafaa, au hafai.
Ndoa za kisasa, waamuzi wa mwanzo na wa mwisho ni wanandoa wenyewe. No wonder ndoa hazidumu.
Unakubali au unakataa somo hili?
Jadili.
Mbu
JF Premium Member
Join Date: Thu Jan 2007
Location: Stagnant Springs
Posts: 3,956
Thanks: 796
Thanked 1,548 Times in 1,026 Posts
Tabia haibadiliki...!
Mbu24th August 2009, 04:37 PM