Wana JF za asubuhi/mchana/jioni!!!! Nimekuwa nikifuatilia ile hadithi ya Mwanakijiji ya Kisa cha Mjamaika ina mambo mengi visa mbalimbali vya kimapenzi. Sasa hadithi hiyo imenifanya nipate swali: Hivi suala la kunyimwa haki ya mwili (Unyumba) linakuaje?? na wanaume nao mnatoa adhabu hiyo kwa wasichana/wake zenu wanapowakosea au wanapowaudhi??? Maana inaonekana wanawake wanatumia zaidi hiyo kama kinga hiyo (sina uhakika wa statistics lakini hata kwenye mahusiano ya kawaida tu inatokeaga)
Clementina kamnyima Waziri unyumba kwa miezi 7/8 hivi na mnalala kitanda kimoja mnaamka wote mnaonana kila kitu lakini ndo hivyo miezi 7 Waziri hakuona ndani. Imenishtusha kidogo hali hii.
mie nambaniaga japo wiki, kuna vijimambo akinifanyia hapo lazima nimbanie, akija late kanikuta nimeshalala hapo hakifanyiki kitu, na kesho yake maelezo yake yakipinda ya huko alikokuwa mbano unaendelea, kuna vijimambo mambo akivifanya anajua kabisa hapa hakuliki...hiyo miezi 7 kwa kweli ni mingi ila inategemeana na ishu yenyewe ilivyo.

Ha ha ha hapo hujambania mmepunzika japo wiki.
labda ningeanzia kwako jeiesi na MAHUSIANO YAKO..............!Wana JF za asubuhi/mchana/jioni!!!! Nimekuwa nikifuatilia ile hadithi ya Mwanakijiji ya Kisa cha Mjamaika ina mambo mengi visa mbalimbali vya kimapenzi. Sasa hadithi hiyo imenifanya nipate swali: Hivi suala la kunyimwa haki ya mwili (Unyumba) linakuaje?? na wanaume nao mnatoa adhabu hiyo kwa wasichana/wake zenu wanapowakosea au wanapowaudhi??? Maana inaonekana wanawake wanatumia zaidi hiyo kama silaha yao (sina uhakika wa statistics lakini hata kwenye mahusiano ya kawaida tu inatokeaga)
Clementina kamnyima Waziri unyumba kwa miezi 7/8 hivi na mnalala kitanda kimoja mnaamka wote mnaonana kila kitu lakini ndo hivyo miezi 7 Waziri hakuona ndani. Imenishtusha kidogo hali hii.
Ni kweli kabisa dada inategemea na ishu yenyewe ..........kusema ukweli Waziri alikosea na ile ban kwake ni naona ni sawa tu kwa sababu ninaamini angemkuta Mkewe na shamba boy ndani ya nyumba yao - ingekuwa habari nyingine. Unajua wenzetu hawa wamejaliwa kila kitu mwanaume anazo njia nyingi za kuadhibu
1. Kuna wanaopiga- mwanamke hawezimpiga mumewe kwa kumkosea (wengi wetu)
2. Anawezaamua kuchelewa kurudi nyumbani/ au kulala kabisa huko apendapo na akatoa sababu kuwa umemkosea .... na jamii ikamwelewa
3. Anawezaamua akaoa mwanamke mwingine bila kukupa talaka kwa kisingizio cha kukuadhibu na ikaeleweka
4. Anaweza akakuacha kabisa.
Hivyo vyote wanawake si rahisi kuvifanya na wakaeleweka katika jamii na hivyo kubakiwa na njia chache za kuadhibu pale anapokosewa na mwenzi wake ............na unfortunately hii ya ban ndio inaonekana kama inawork ----- ingawa wengi huwa hawajali kwa kuwa wana uwezo wa kupata nje....
Wanawake bana eti unambania...Yaani hyo huwa haifanyi kazi hata kdogo kwangu maana ukijidai kubana mi pia naweza kusavaivu hata aka 2. Huwa nacheka tu nikisikia mwanamke eti amembania mumewe mademu wenyewe wako kwa mafungu mitaani.
nenda mashariki magharibi na kaskazini ya ndani ni tamu tena ana uhakika nayo kuliko ya nje wa ulize uoneWanawake bana eti unambania...Yaani hyo huwa haifanyi kazi hata kdogo kwangu maana ukijidai kubana mi pia naweza kusavaivu hata aka 2. Huwa nacheka tu nikisikia mwanamke eti amembania mumewe mademu wenyewe wako kwa mafungu mitaani.
Wanawake bana eti unambania...Yaani hyo huwa haifanyi kazi hata kdogo kwangu maana ukijidai kubana mi pia naweza kusavaivu hata aka 2. Huwa nacheka tu nikisikia mwanamke eti amembania mumewe mademu wenyewe wako kwa mafungu mitaani.[/QUOTE]
hapo wameongelewa wana ndoa zaidi, sasa hiyo kwenye red inategemeana na umri na utashi wako kifikra juu ya kitu mke/mme
mie nikibaniwa wiki tu naenda Jolly Club kujipoza nikiona anaendelea kubana kama kawaida najenga kajumba, msitumie nyuchi kama silaha ya maangamizi kwa m/ume mie inaniboa sana hiyo kitu na ndio malalamiko ya w/ume wote mtaani mtu mmekorofishana mambo ya kawaida anakimbilia kukunyima unyumba hapo si unafungulia nyumba ndogo mwenyewe mmmh sijui lakini mna matatizo hapomie nambaniaga japo wiki, kuna vijimambo akinifanyia hapo lazima nimbanie, akija late kanikuta nimeshalala hapo hakifanyiki kitu, na kesho yake maelezo yake yakipinda ya huko alikokuwa mbano unaendelea, kuna vijimambo mambo akivifanya anajua kabisa hapa hakuliki...hiyo miezi 7 kwa kweli ni mingi ila inategemeana na ishu yenyewe ilivyo.
mie nambaniaga japo wiki, kuna vijimambo akinifanyia hapo lazima nimbanie, akija late kanikuta nimeshalala hapo hakifanyiki kitu, na kesho yake maelezo yake yakipinda ya huko alikokuwa mbano unaendelea, kuna vijimambo mambo akivifanya anajua kabisa hapa hakuliki...hiyo miezi 7 kwa kweli ni mingi ila inategemeana na ishu yenyewe ilivyo.
True Shit....ukinibania tena kwa kiburi kabisa yaani umewasha moto na mie sikugusi mpk uniombe mwenyewe tena kipindi hicho nitakuwa narudi saa 6 daily na pia mpk uje kulegeza masharti ujue nyumba ndogo ishakamata ujauzitosababu kubwa sana ya kuwa na nyumba ndogo ni PAMOJA NA HII ya kubaniana.....................
ai wishi mke wangu angekuwa na akili kama zako......NINGEHAMIA TABATA-MAWENZI kwa nyumba ndogo yangu mtoto SALIMA....DAH!mi akinibore sana hasa wa mambo ya infidelity lazima anyimwe hata miezi kadhaa!