MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 28
1.Maskini,waoga na washamba-SUA
2.Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE
3.Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR
4.Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5.Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama-TUMAIN UNIVERSITY
6.Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS
7.Wapenda ofa duni za serikali-TIA
8.Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO
9.Mafundi-DIT,ST JOSEPH
10.Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF DODOMA
11.Wasiojali future-SAUT,USTAWI WA JAMII,MWL NYERERE,MAGOGONI,UHAZILI TABORA,CBE DODOMA
12.wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli 4-6-IAA
13.wanaosoma sana but silent-ST JOHN,KCMC,BUGANDO,
14.Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM,ZANZIBAR UNIVERSITY,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA
15.Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE,nk
16.Wasiojali nchi mamluki-ABROAD
17.watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-University of Dar-es-salaam
je wajameni kuna ukweli wowote nilitumiwa na rafiki yangu
wewe go well frank na post zako 9,you are talking of mzumbe ya miaka ipi?be specific na usibwabwaje ki LAYMAN, lest you forget products za IDM tumo humu,and we are walking proud and tall in every damn aspect your grey matter can imagineFor Godsake hili ni jukwaa la elimu wewe,tunahitaji innovative ideas kwa maendeleo na mustakabali wa nchi hii, siyo hizo scrap zisizo na msingi mnazotumiana kijinga kwenye SMS mitaani. U MIGHT BE nUNGWI with different ID. Matajiri, wajanja na wenye akili-MZUMBE????????? Nimesoma Mzumbe Secondary, hata ukiwa kichaa huwezi kusoma kile chuo,kiko below standard vibaya mno.
For Godsake hili ni jukwaa la elimu wewe,tunahitaji innovative ideas kwa maendeleo na mustakabali wa nchi hii, siyo hizo scrap zisizo na msingi mnazotumiana kijinga kwenye SMS mitaani. U MIGHT BE nUNGWI with different ID. Matajiri, wajanja na wenye akili-MZUMBE????????? Nimesoma Mzumbe Secondary, hata ukiwa kichaa huwezi kusoma kile chuo,kiko below standard vibaya mno.
mbona huna sense of humour. kila kitu ni kuinyesha ushahidi,mara kuonyesha takwimu.we bwana wewe,embu enjoy the joketuna omba ushaidi wa haya ulioandika hapa.
Huo utafit umefanyia bar nini?
INAWEZEKANA NI KWELI WANAFUNZI HUENDA VYUO KULINGANA NA HUU MCHANGANUO?
1. Maskini,waoga na washamba-SUA
2. Matajiri,wajanja na wenye akili-MZUMBE
3. Wenye akili chache,wavivu na matozi,master duu-CBE DAR
4. Malaya, wasanii,wauza sura na wasio jiweza kiakili-IFM
5. Upeo mdogo,wapenda sifa na watoto wa mama- TUMAINI UNIVERSITY
6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi-MUCCOBS
7. Wapenda ofa duni za serikali-TIA
8. Waliokosa vyuo kabisa-RUCCO
9. Mafundi-DIT,ST JOSEPH
10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM-UNIVERSITY OF DODOMA
11. Wasiojali future,watoto wa geti kali-SAUT
12. wenye uwezo wa kipesa na kiakili but walifeli form4-6-IAA
13. Wanaosoma sana but silent-ST JOHN,KCMC,BUGANDO
14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu-CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY ,MORO MUSLIMU,NYUKI TABORA
15. Wakujitolea na future duni-DUCE,MUCE,KIGURUNYEMBE
16. Wasiojali nchi mamluki-ABROAD
17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina-UDSM